CCM Zanzibar yamfuta uanachama Balozi Ali Karume

Hussein Mwinyi yupo kazini kukomesha ufisadi wa Familia chache

uzuri wote ni watoto wa Ma Rais wa zamani wa Znz

uzuri wote Baba zao wamezaliwa nje ya Znz

Ally amewahi kuwa Waziri kwny Serikali ya Dr Shein, ilikuaje akakubali uteuzi ndani ya Serikali iliyopatikana kwa njia za haramu ?

Ally atulie zama zao zimeisha …mbona kina Madaraka Nyerere hawajala matunda ya Nchi kama wao na bado wako humble tu?

akijidai kuleta fujo Serikali inyofoe ma Folder yake kule Italy alipokuwa Balozi
 
Baadaye Watampa Uanachama Tu Hakuna Jipya
Mbona Niguse Ninuke Kabla Ya Kifo Walimrudishia Kijani Chake Chote
 
Reactions: Ame
Hivi hata kama mtu anahoji yenye ukwel ni kwamba hatakiw?
 
Hii hatua imechelewa mno lakini!
 
Kwamba mwinyi ameuza visiwa vya huko,

Jamani, hatupumui!!!
 
Hivi CHADEMA haiwezi kuchukua Karume?

Act hawaaminiki.
 
Unakodi shamba kwa jirani yako, anakwambia nipe 10,000 halafu tuandikishane Hilo shamba ulitumie milele, sitaruhusiwa kukunyang'anya kwa sababu yoyote Ile, hata ukinitukana hadharani, ni lako na vizazi vyako milele

Hii kisheria umekodi au umenunua
 
Tusubiri tuone !!
 
Wanga ??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…