CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute

Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio


 
JAMAA SIJUI KAPIGA NA NGUMI AU KITU GANI MAANA CHAP KIOO KIKAPASUKA
 
Hii siyo Bongo,Bongo magari yanayokwenda yanapita kushoto lakini barabara inayoonekana magari yanayokwenda yanapita kulia.
 
I see! Tahadhari muhimu.
Maana hata kama una alam, ni kitendo cha haraka sana.
 
Back
Top Bottom