#COVID19 CDC imeshauri watu kuachana na chanjo ya J&J kwani inasababisha kuganda kwa damu kwenye ubongo, watumie Moderna ama Pfizer

Ndio maana nimekuwa slow sana kufanya maamuzi baada ya kuchoma J&J
Duh kwa hiyo wanatusaidiaje.... Maana sisi tunawategemea wao... Wasitufanyie hivyo

Huu ndio unyama sasa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mleta uzi tahadhari hiyo imetolewa lini???
 
Twende taratibu,J&J zilikuja chanjo ngapi TZ?Tuna kesi yoyote ya kuganda Kwa damu kwenye ubongo?
 
Rare but dangerous blood clotting!
Tusikuze mambo!!!!!!!
 
Huu uzi umekuja siku nzuri.... somebody tag Bishop Gwajima pls hahahaha
 
Rare but dangerous blood clotting!
Tusikuze mambo!!!!!!!
Mkuu watengeneza chanjo wenyewe wamekwambia inasababisha damu ya kwenye ubongo kuganda, unataka kubishana nao, unajua walichoweka ndani ya hiyo chanjo?

Damu isipoganda leo ipo siku itaganda maana dawa si bado iko kwenye damu za watu? Tusubiri tuone.
 
Ndio maana nimekuwa slow sana kufanya maamuzi baada ya kuchoma J&J
Duh kwa hiyo wanatusaidiaje.... Maana sisi tunawategemea wao... Wasitufanyie hivyo

Huu ndio unyama sasa
Umeandika kwa uchungu sanaπŸ˜‚.

Pole sana mkuu.
 
Mkuu watengeneza chanjo wamekwmabia inasababisha damu ya kwenye ubongo kuganda, unataka kubishana nao, unajua walichoweka ndani ya hiyo chanjo?

Damu isipoganda leo ipo siku itaganda maana dawa si bado iko kwenye damu za watu? Tusubiri tuone.
Fungua link usome,usiishie kusoma maneno ya mleta mada ambayo yeye ndiye ametafsiri!
Ingekuwa hivyo unavyoamini basi wangeshauri watu wasichanje kabisa hiyo J&J!
Ila wamesema watu wasi-opt sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…