CDF, IGP na DG TISS wanastahili nishani ya Mlima Kilimanjaro

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585
Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10.

Bila kazi yao pevu na tukufu, pengine leo tungekuwa tuna mgogoro kama wa Sudan
 
wakijiona
20251210_155455.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20251212_200809_X.jpg
    Screenshot_20251212_200809_X.jpg
    108.9 KB · Views: 31
  • Screenshot_20251212_200815_X.jpg
    Screenshot_20251212_200815_X.jpg
    73.7 KB · Views: 30
Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10.

Bila kazi yao pevu na tukufu, pengine leo tungekuwa tuna mgogoro kama wa Sudan
Iwapo ni hivyo,itoe familia yako kama sadaka.
 
Mjuba acha kuyaita yale maandamano eti ni mapinduzi, mapinduzi gani yale yasiyokuwa na viongozi wa kuchukua nafasi za uongozi? Sema yale yalikuwa ni maandamano yenye matakwa makubwa
 
Iwapo ni hivyo,itoe familia yako kama sadaka.
Hawa viongozi wanastahili pongezi. Kama huamini nenda kasome vurugu za uchaguzi za Kenya baada ya uchaguzi wa 2007/08.

Vurugu za baada ya uchaguzi wa Kenya 2007/2008 zilisababisha vifo vya takribani 1,133–1,500 watu na zilidumu kwa takribani siku 63 (miezi miwili na siku moja).

Imagine watu waliokufa Tanzania kwa siku 3 ni 700-1,000. Je ingekuwaje kama hao magwiji wa vyombo vya dola wasinge contain ndani ya muda mfupi tukafika siku 60 kama Kenya?

Big up to Genral Moses Nkunda, IGP Camillius Wambura na DG TISS Selemani Mombo
 
Back
Top Bottom