D
DeletedMember281674
Guest
Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10.
Bila kazi yao pevu na tukufu, pengine leo tungekuwa tuna mgogoro kama wa Sudan
Mnalinda Dola au mnalinda Mijizi na mafisadi wa Rasimali za nchi??? Mnawaona watanzania hamnazo??? Na ni wapole???
Kwanini vyombo vya Dola visilinde RASIMALI za nchi badala yake wanalinda watoto wao wasionekane mitandaoni wameshika vibunda vya Dola na Magari yao ya G-Wagon na Rolls Royce yasionekane halafu bado unakuta informer unaambiwa kuwa mzalendo toa taarifa tulinde Amani wakati wao wanatembelea Magari ya kifahari na kujenga apartments
Hii nchi hii, haya bhana