CDF, IGP na DG TISS wanastahili nishani ya Mlima Kilimanjaro

CDF, IGP na DG TISS wanastahili nishani ya Mlima Kilimanjaro

Na wewe mwenyewe umeingia kwa VPN. Nenda kwenye hoja, kwa akili hiyo utaendelea kutawaliwa na umaskini wako milele
Mnakili hazijai hata kwenye kisoda.

Unataka kujadili hoja mtandao mlioufungia?

Matako mumehamishia juu ya shingo uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.
 
Ghasia za Kenya zilikuwa za kikabila ...yaani raia walikuwa wakipigana wao kwa wao.

Tofauti na huku ambapo raia hawakupigana wao kwa wao ila walishambuliwa na vyombo vya dola.
Kenya ni kwamba kila upande uli target kabila jingine. Kwa mfamo Kalenjins wa central province waliwashambulia Wakikuyu kwa mwongozo wa Ruto.

Na kwingineko mungiki wakaia wajaluo na wakalenjin kwa mwongozo wa Uhuru

Huku kwetu ni kwamba magenge ya uhalifu yalianza kuua polisi, kuchoma vituo vya Polisi, kuchoma miundombinu mwendokasi na kuiba mali ya binafsi.

Hivyo basi Polisi na JWTZ walikwenda kutuliza ghasia
 
Vurugu za Kenya zilichochewa na mambo mengi ikiwemo Ukabila na uchochezi wa baadhi ya wanasiasa wa nchi hiyo.

Yaliyotokea Oktoba 29-30-31 hayafanani na hali ya Kenya kipindi huko.
Basi hauujui mgogoro wa uchaguzi wa Kenya
 
Mnakili hazijai hata kwenye kisoda.

Unataka kujadili hoja mtandao mlioufungia?

Matako mumehamishia juu ya shingo uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.
Kwa comment hii, wewe moja kwa moja ni mmohawapo wa wale wezi wa 29/10 ambaye risasi haikukupata
 
Kwa comment hii, wewe moja kwa moja ni mmohawapo wa wale wezi wa 29/10 ambaye risasi haikukupata
Akili ndio kitu mumekosa.

Akili zenu hazina tofauti na ng'ombe anayekunya sehemu anayolala.

Tulitegemea mngeanzisha mtandao wenu wa kueneza propaganda zenu ila mpo bize kurudisha nyuma mapambano ya wenzenu tena bado mnautumia mtandao huohuo kwa Vpn kuleta ukuma wenu.
 
Mapambano gani? Mapambano yanaongozwa na malaya wako nje ya nchi?? MangeKimambi?? Rachel Dangwa na Maria Sarungi!!

Acheni akili za kindezi
 
Mapambano gani? Mapambano yanaongozwa na malaya wako nje ya nchi?? MangeKimambi?? Rachel Dangwa na Maria Sarungi!!

Acheni akili za kindezi
Mnahangaika sana kama mumekalia msumari wa moto.

Malaya wanawatoa jasho sana tulieni mpekewe moto wezi wakubwa.
 
Mie napenda amani lkn siipendi dhuluma
Sasa tatizo Hawa wanalinda amani kwa kuikanyaga haki amani ya mtutu hiyo huwa haidumu
 
Back
Top Bottom