Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10.
Bila kazi yao pevu na tukufu, pengine leo tungekuwa tuna mgogoro kama wa Sudan
Sasa hivi wanataka Tanzania irudi kuwa chini ya udhamini wa UNO, wehu sana hawa.Naunga mkono hoja. Wapeni watu maua yao wakingali hai. Tusisuburi wamekufa ndiyo tunaanza kuwaelezea kwenye wasifu.
Hongera Nkunda, Wambura na Mombo. Bila nyinyi hawa mahayawani walikuwa wanachoma moto nchi nzima
Heche anaendeshwa na bangi za TarimeSasa hivi wanata Tanzania irudi kuwa chini ya udhamini wa UNO, wehu sana hawa.
Iwapo ni hivyo,itoe familia yako kama sadaka.Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10.
Bila kazi yao pevu na tukufu, pengine leo tungekuwa tuna mgogoro kama wa Sudan
Hawa viongozi wanastahili pongezi. Kama huamini nenda kasome vurugu za uchaguzi za Kenya baada ya uchaguzi wa 2007/08.Iwapo ni hivyo,itoe familia yako kama sadaka.
Yaani kama yameamriwa ..MGUU PANDE,tembeee..Ujinga tuNaona unajipigia pasi ya assist mwenyewe.....!!! endeleeni kula Cake ya taifa