CDF, IGP na DG TISS wanastahili nishani ya Mlima Kilimanjaro


Mnalinda Dola au mnalinda Mijizi na mafisadi wa Rasimali za nchi??? Mnawaona watanzania hamnazo??? Na ni wapole???

Kwanini vyombo vya Dola visilinde RASIMALI za nchi badala yake wanalinda watoto wao wasionekane mitandaoni wameshika vibunda vya Dola na Magari yao ya G-Wagon na Rolls Royce yasionekane halafu bado unakuta informer unaambiwa kuwa mzalendo toa taarifa tulinde Amani wakati wao wanatembelea Magari ya kifahari na kujenga apartments

Hii nchi hii, haya bhana
 
Kama wamewekeza wasinunue G-wagoni na rolls royce? n k.Siyo kila mwenye magri ya kifahari ni fisadi
 
Mumeifungia JF then mnatumia VPN kuja kuleta taarifa zenu za kijinga humu tena.

Nyinyi jamaa akili zenu zimejaa kamasi, ni wajinga daraja la kwanza.
 
Hiyo sasa siyo akili bali kichwa kimejaa kamasi. Yaani unaandamana kwa sababu mtoto wa mkubwa ameshika dola? Unaandamana kwa sababu umeoma kwenye mitamdao ya jamii mtoto wa mkubwa anaendesha gari ya thamani?

Fanya kazi wewe bwege, hata Heche au Lissu akiwa Rais hawezi kukuwekea hela mfukoni??
 
Mumeifungia JF then mnatumia VPN kuja kuleta taarifa zenu za kijinga humu tena.

Nyinyi jamaa akili zenu zimejaa kamasi, ni wajinga daraja la kwanza.
Na wewe mwenyewe umeingia kwa VPN. Nenda kwenye hoja, kwa akili hiyo utaendelea kutawaliwa na umaskini wako milele
 
Pumbavu umekosa hoja. Mtu anapinga utawala wa mafisadi unaleta hoja za kis....
 
Huo sasa ni wivu wa pangu pakavu tia mchuzi. Fanya kazi
 
Vurugu za Kenya zilichochewa na mambo mengi ikiwemo Ukabila na uchochezi wa baadhi ya wanasiasa wa nchi hiyo.

Yaliyotokea Oktoba 29-30-31 hayafanani na hali ya Kenya kipindi huko.
 
Mumeifungia JF then mnatumia VPN kuja kuleta taarifa zenu za kijinga humu tena.

Nyinyi jamaa akili zenu zimejaa kamasi, ni wajinga daraja la kwanza.
Twende kwa hoja, acha kuhemuka
 
Vurugu za Kenya zilichochewa na mambo mengi ikiwemo Ukabila na uchochezi wa baadhi ya wanasiasa wa nchi hiyo.

Yaliyotokea Oktoba 29-30-31 hayafanani na hali ya Kenya kipindi huko.
Ni kweli hayafanani lakini yalichukua muda mrefu kuyadhibiti. Siku 73 lakini sisi kuku majeshi yetu yalikamikisha mchakato ndani ya masaa machache.

Ufanisi wa majeshi yetu ni wa hakibya juu
 
Ni kweli hayafanani lakini yalichukua muda mrefu kuyadhibiti. Siku 73 lakini sisi kuku majeshi yetu yalikamikisha mchakato ndani ya masaa machache.

Ufanisi wa majeshi yetu ni wa hakibya juu
Ghasia za Kenya zilikuwa za kikabila ...yaani raia walikuwa wakipigana wao kwa wao.

Tofauti na huku ambapo raia hawakupigana wao kwa wao ila walishambuliwa na vyombo vya dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…