GE2025 CDF Mkunda ameamua kusimama dhidi ya wananchi. JWTZ mnajua cha kufanya. Madagascar ni case study nzuri

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.

Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.

Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.

Dunia inajua, Watanzania tunajua, Samia na CCM hawana legitimacy yeyote kuendelea kuwaongoza Watanzania.

Kama vyovyote vile CDF Mkunda amekuwa compromised na Mafisadi najua mnajua cha kumfanya.

CDF wa Madagascar nae alikuwa compromised hivyo hivyo akajaribu kuwageuka Wananchi baada ya Rais Rajelina kumteua kuwa Waziri wa Ulinzi ila Wanajeshi wa Madagascar wakamuonesha Jeshi ni la Wananchi na wakampiga chini na kuchukua Nchi.

Muwekeni pembeni CDF Mkunda na ichukueni Nchi kama walivyofanya wenzenu wa Madagascar.
 
Ni wazi sasa kuwa huyo mkunda inabidi awekwe kando kinguvu tu,maana dalili nyingi zinaonyesha si mmoja wetu huyo
 
Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.

Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.

Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.

Dunia inajua, Watanzania tunajua, Samia na CCM hawana legitimacy yeyote kuendelea kuwaongoza Watanzania.

Kama vyovyote vile CDF Mkunda amekuwa compromised na Mafisadi najua mnajua cha kumfanya.

CDF wa Madagascar nae alikuwa compromised hivyo hivyo akajaribu kuwageuka Wananchi baada ya Rais Rajelina kumteua kuwa Waziri wa Ulinzi ila Wanajeshi wa Madagascar wakamuonesha Jeshi ni la Wananchi na wakampiga chini na kuchukua Nchi.

Muwekeni pembeni CDF Mkunda na ichukueni Nchi kama walivyofanya wenzenu wa Madagascar.
Nilikuambia hilo jeshi unalolililia halina tofauti kubwa na raia, na lenyewe liko compromised na miaka mingi ya utawala wa CCM.

Hukutaka kusikia.

Haya sasa mkuu wa majeshi kawaita waandamanaji wahalifu na anasisitiza watu wafuate sheria.

Ulitegemea nini kutoka kwa hili jeshi?
 
Top generals siku zote sio watu wa kutegemewa kwenye struggles. They’re usually bloated and compromised. You can only count on the junior officers!
 
Nilikuambia hilo jeshi unalolililia halina tofauti kubwa na raia, na lenyewe liko compromised na miaka mingi ya utawala wa CCM.

Hukutaka kusikia.

Haya sasa mkuu wa majeshi kawaita waandamanaji wahalifu na anasisitiza watu wafuate sheria.

Ulitegemea nini kutoka kwa hili jeshi?
Wewe fisadi nyuzi kama hizi pitaga pembeni.

Watanzania tupo serious kulikomboa Taifa.
 
Wewe kifulambute huna uwezo wa kunipangia nyuzi za kuchangia. Hujafikia uwezo huo bado.

Wewe ukishindwa hoja unatukana watu ufisadi usioweza hata kuuthibitisha.

Umewaparatia wanajeshi, wanajeshi wenyewe ndio hawa wanakukana na kukuita muhalifu.

Akili yako fupi inaanza kuonekana ufupi wake.
 
Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.

Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.

Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.

Dunia inajua, Watanzania tunajua, Samia na CCM hawana legitimacy yeyote kuendelea kuwaongoza Watanzania.

Kama vyovyote vile CDF Mkunda amekuwa compromised na Mafisadi najua mnajua cha kumfanya.

CDF wa Madagascar nae alikuwa compromised hivyo hivyo akajaribu kuwageuka Wananchi baada ya Rais Rajelina kumteua kuwa Waziri wa Ulinzi ila Wanajeshi wa Madagascar wakamuonesha Jeshi ni la Wananchi na wakampiga chini na kuchukua Nchi.

Muwekeni pembeni CDF Mkunda na ichukueni Nchi kama walivyofanya wenzenu wa Madagascar.
Mbele yake kawekewa heshima na aibu kaamua kuchagua aibu ya miaka yake yote na familia yake,kaona Bora aibu na sio heshima ,Bado Mungu atatupigania sana na yupo upande wetu
 
Hivi mlikuwa mnategemea nini nyie watu?

Mkuu wa majeshi apindue nchi? Tanzania?

Mnalielewa jeshi la Tanzania kweli?

Mmezaliwa lini? Jana?
 
Wewe kifulambute huna uwezo wa kunipangia nyuzi za kuchangia. Hujafikia uwezo huo bado.

Wewe ukishindwa hoja unatukana watu ufisadi usioweza hata kuuthibitisha.

Umewaparatia wanajeshi, wanajeshi wenyewe ndio hawa wanakukana na kukuita muhalifu.

Akili yako fupi inaanza kuonekana ufupi wake.
Umejiona ulivyo fala?

Kwanza kuna maandamano yangefanikiwa siku ya pili leo bila support ya Jeshi? Hujaona wanajeshi wa kawaida waki wa support waandamanaji?

We ndo mana nimekwambia endelea kula hela zako za ufisadi. Mie kwako ni maji yenye kina kirefu sana. Huyawezi.

Tulia tuko serious kulikomboa Taifa. Kama hukuweza kimbia na fedha zetu tutakufikia tu
 
Huyu general MKUNDA , sounds compromised, na inaonekana hata yeye amekwaa vigingi huko jeshini , sababu anatumika na CCM. SASA AMETUMWA KULETA HOFU..YEYE KAMA ANATAKA AMANI , ACHUKUE NCHI NA HATUTAKI CCM YEYOTE KATIKA SERIKALI YAKE YA MPITO..TOFAUTI NA HAPO HATA YEYE ATAKUA MUARIFU TU KAMA WAARIFU WENGINE
 
Back
Top Bottom