GE2025 CDF Mkunda ameamua kusimama dhidi ya wananchi. JWTZ mnajua cha kufanya. Madagascar ni case study nzuri

GE2025 CDF Mkunda ameamua kusimama dhidi ya wananchi. JWTZ mnajua cha kufanya. Madagascar ni case study nzuri

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawezi kukuelewa huyu mbuzi. Ni mnufaika wa Ufisadi na kazi kubwa anayofanya humu ni kurudisha nyuma morali ya watu kupigania mabadiliko.

Achana nae. Ni lijinga fulani hivi.
Jeshi linachukua nchi lini wewe muota ndoto za Abunuwasi?
 
Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.

Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.

Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.

Dunia inajua, Watanzania tunajua, Samia na CCM hawana legitimacy yeyote kuendelea kuwaongoza Watanzania.

Kama vyovyote vile CDF Mkunda amekuwa compromised na Mafisadi najua mnajua cha kumfanya.

CDF wa Madagascar nae alikuwa compromised hivyo hivyo akajaribu kuwageuka Wananchi baada ya Rais Rajelina kumteua kuwa Waziri wa Ulinzi ila Wanajeshi wa Madagascar wakamuonesha Jeshi ni la Wananchi na wakampiga chini na kuchukua Nchi.

Muwekeni pembeni CDF Mkunda na ichukueni Nchi kama walivyofanya wenzenu wa Madagascar.
Wakuu tuwe watu wa shukrani hata tu kwa hii support aliyoionyesha siyo kitoto .

Hebu jenga picture ,tufanye Mkunda ndiyo wewe

Ili ufike hiyo nafasi ulipofikia wapo waliyokupambania , ambao leo wewe yule waliyekupambania unawaacha raia wawakaange
,unadhani wanakutazama poa?

Kibongobongo lazima kunaeneo uone haibu .

Nilichomsoma mimi nikwamba jamaa kauzu kweli , na hata huku tunakomuona kama hasomekiskmeki hivii hayo ni crocodile tears , japo kumuweka pembeni ni uamuzi mzuri ,maana utamuondoa kwenye lawama ila hadi sasa hapaswi kulaumiwa zaidi ya kupongezwa kwa ujasiri aliyouonyesha .

Tunadhani siku ile wanajeshi wale wangelionyeaha sura ya kikauzu Kuna nani pale angelithubutu kufanya nywinywinywi 🤣🤣
 
He is not one of us , huyu nae asalimiwe mapema sanaa na WANAJESHI wetu watiifu then waichukue nchi, before it's too late
Huyu CDF ni mpumbavu, nimesoma naye shule moja akiwa Form V na mimi Form VI, hakuna jitu jinga kama hili, hajiamini, hana confidence hata kidogo......ni mjinga mjinga. Huyu ni fisadi aliyewekwa na Kikwete kwa maslahi yao na Samia, huyu Nkunda hafai na sielewi alipandaje cheo kufika hapo alipo. Hana huruma na watanzania anawalinda mafisadi kwa sababu ananufaika nao. Huyu John Jacob Nkunda ni wa ovyo mno......Mpindueni wanajeshi wetu, hafai kuwa CDF wetu, WATU WANAUAWA NA UVCCM (Janjaweed) haoni hilo, yeye anaona wahalifu ni wale wanaoandama na wasio na silaha wakati JANJAWEED (UVCCM) wana bunduki za kisasa....Machine guns kama AK-47, Galil ARM na AK-74. Wanatuua kwa hiyo ndugu zangu watanzania tusinyamaze watuuwe tu. HAPANA TUPIGANE HADI MWISHO WASALIMU AMRI NA SAMIA AONDOKE ATUACHIE NCHI YETU.
 
Wanajeshi, wekeni chini ya ulinzi huyu umbwa. Okoeni machafuko zaidi ya hapa
 
Wow!

Sijawahi kabisa kuwa impressed na ‘intellect’ yake 😂.

Sorry to say, but, he’s kinda dumb.
 
Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.

Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.

Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.

Dunia inajua, Watanzania tunajua, Samia na CCM hawana legitimacy yeyote kuendelea kuwaongoza Watanzania.

Kama vyovyote vile CDF Mkunda amekuwa compromised na Mafisadi najua mnajua cha kumfanya.

CDF wa Madagascar nae alikuwa compromised hivyo hivyo akajaribu kuwageuka Wananchi baada ya Rais Rajelina kumteua kuwa Waziri wa Ulinzi ila Wanajeshi wa Madagascar wakamuonesha Jeshi ni la Wananchi na wakampiga chini na kuchukua Nchi.

Muwekeni pembeni CDF Mkunda na ichukueni Nchi kama walivyofanya wenzenu wa Madagascar.

Tangazo lake sikusikia akizungumzia kuheshimu mamlaka, pengine ameshachukua nchi kwa lugha yake ya mwili ni kama sasa amejitwisha mzigo wa kuongoza nchi yeye na baraza la kijeshi Junta

TOKA MAKTABA:

Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌

👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌

TOKA MAKTABA :

Uelewano wa Dr. Emmanuel Nchimbi na vyombo vya ulinzi na usalama pia ikiwemo mkuu wa usalama:

Brasil, Brazil hadi St. Peter's Oysterbay

Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.
Katibu mkuu ni mtu aliye karibu sana na aliyekuwa afisa ubalozi ktk ubalozi wa Tanzania nchini Brazil ambaye sasa ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Bw. Suleiman Mombo.

13 September 2024

SAKATA LA UTEKAJI CCM WATOA TAMKO KUPITIA NCHIMBI, WACHUKIZWA NA WALE WAFADHILI WA WATU WASIOJULIKANA ​

View: https://m.youtube.com/watch?v=wzhd5pVK0zs

Dr. Emmanuel Nchimbi na Suleiman Mombo wameishi jijini Brasil katika ubalozi wa Tanzania. Wameona na kusikia makundi ya kihalifu kule Ecuador, El Salvador na mataifa kadhaa ya bara la Latino Amerika ambayo yalikuja kuwa hatari siyo kwa raia tu bali hata serikali zilizo madarakani.

Ukaribu wa Katibu mkuu Emmanuel Nchiimbi na Mkuu wa Usalama wa Taifa Suleiman Mombo ni lulu ambayo ikitumika kwa uzuri na nia njema ya kukipata kikundi hiki cha wasiojulikana ni wakati huu wa sasa.

Dr. Emmanuel Nchimbi na mkuu Sukeiman Mombo waielekeze hali hiyo ya kuchukizwa kwa Kundi la Watu Wasiojulikana watumie ushawishi wao, rasilimali za serikali na waajiriwa safi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuweza kuwatia mbaroni watu hawa wasiojulikana na kutupa umma mrejesho wa mafanikio ya kazi waliyopewa na mwenyekiti wa CCM ambaye ni rais wa JMT kuwasaka haraka watu hawa wanaoleta hofu kwa kuteka na kuua watu.
.PICHA TOKA MAKTABA :

Mhe. Rais Michel Temer na Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil Mhe. Aloysio Nunes Ferreira Filho (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.

Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais

1740795570402.jpeg

13 Jul 2024 — The appointment of Selemani Mombo as the new TISS Director General could have significant impacts on Tanzania's security and intelligence.
 
uko upande Gani mkuu?, maana naona unagubu na Kila habari?au maandamano yamegusa maslahi yako?
Unauliza maswali uelewe au una shida ya kunipaka matope tu?

"Kila habari" hata kuziona sizioni, nitakuwa na gubu vipi?

Mimi nikikuelezea upande wangu, kwa wengi, si rahisi kunielewa kwa sababu nina tabia ya kutokaa kwenye viboksi vyenu vya kuwaweka watu kirahisi.

I am not a simpleton, I defy simple categories.

I am nuanced.

Sipendi utawala wa kifisadi wa CCM na pia sipendi utawala wa kijeshi.

Najua wananchi wanaweza kuutoa utawala wa kifisadi wa CCM bila ya kuhitaji kuweka utawala wa kijeshi.

Bangladesh walishafanya hivyo walipomtoa Sheikh Hasina August 5 2024, wakamuweka Muhammad Yunus Aigust 8 2024.

Iliwachukua siku tatu tu kuweka serikali ya mpito ya kiraia.

Hawakuhitaji jeshi, wanaujua utawala wa kijeshi na matatizo yake. Wamekuwa na mapinduzi ya kijeshi na majaribio ya mapinduzi ya kijeshi mara 29 tangu 1975.

Kwa hivyo mimi nataka CCM waondolewe, lakini sitaki utawala wa kijeshi.

Kwa mtu anayetaka kuiondoa CCM kwa sababu ya ukandamizaji, kukosa uhuru, kukosa demokrasia, kutaka kuweka utawala wa kijeshi ni ujinga.

Ni contradiction.

Ushaelewa niko upande gani sasa?
 
USIKU HUU BARAZA LA KIJESHI JUNTA CHINI YA UONGOZI WA CDF JENERALI MKUNDA UMECHUKUA NCHINI ??

Tangazo lile halikurejea katiba utii kwa amiri jeshi mkuu.

Asubuhi kesho 31 October 2025 tutajua kama Baraza la Kijeshi litaongoza nchi kwa muda gani huku katiba mpya, serikali ya mpito ya kijeshi

Vyombo kama Jeshi la Polisi, Uhamiaji, Usalama wa Taifa haviwezi tena kuaminiwa na Junta.

Hivyo safu za Idara ya Usalama, Jeshi la Polisi kupanguliwa kuundwa upya, wale wanaobakia ambao hawajachafuka sana watakwenda kupigwa msasa ili vyombo hivi visiweze tena kutumika na viongozi wa serikali yoyote itakayokuja baada ya Baraza la Kijeshi kuiweka nchi sawa.
 
USIKU HUU BARAKA LA KIJESHI JUNTA CHINI YA UONGOZI WA CDF JENERALI MKUNDA UMECHUKUA NCHINI ??

Tangazo lile halikurejea katiba utii kwa amiri jeshi mkuu.

Asubuhi kesho 31 October 2025 tutajua kama Baraza la Kijeshi litaongoza nchi kwa muda gani
JWTZ hamna kitu kabisa.

Nishawaambia ndo taasisi yenye watu vilaza kuliko wote Tanzania.
 
Tamko la jenerali Mkunda halioneshi utii kwa rais anayepingwa, hapa jenerali Jacob John Mkunda CDF TPDF / JWTZ anasoma script ya Baraza la Kijeshi junta ambalo linajipanga nani atashughulikia portfolio gani kama za usalama na ulinzi, mambo ya nje, tawala za mikoa

View: https://m.youtube.com/shorts/ZjIhXHfp_Wk

Junta inataka kukuta miundo mbinu ipo salama haijaharibiwa ili waweze kuongoza nchini bila kuingia gharama za kutengeneza upya BRT mwendo kasi, watu wasiwe wanaogopana kwa kuwa tu walikuwa makada au machawa wa CCM , Hivyo basi Baraza la Kijeshi linataka tuanze upya bila uhasama wa kiitikadi za kichama.

Ndivyo nilivyomuelewa mwenyekiti wa Baraza la Kijeshi 'junta' chini ya jenerali Jacob John Mkunda CDF TPDF / JWTZ
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Unauliza maswali uelewe au una shida ya kunipaka matope tu?

"Kila habari" hata kuziona sizioni, nitakuwa na gubu vipi?

Mimi nikikuelezea upande wangu, kwa wengi, si rahisi kunielewa kwa sababu nina tabia ya kutokaa kwenye viboksi vyenu vya kuwaweka watu kirahisi.

I am not a simpleton, I defy simple categories.

I am nuanced.

Sipendi utawala wa kifisadi wa CCM na pia sipendi utawala wa kijeshi.

Najua wananchi wanaweza kuutoa utawala wa kifisadi wa CCM bila ya kuhitaji kuweka utawala wa kijeshi.

Bangladesh walishafanya hivyo walipomtoa Sheikh Hasina August 5 2024, wakamuweka Muhammad Yunus Aigust 8 2024.

Iliwachukua siku tatu tu kuweka serikali ya mpito ya kiraia.

Hawakuhitaji jeshi, wanaujua utawala wa kijeshi na matatizo yake. Wamekuwa na mapinduzi ya kijeshi na majaribio ya mapinduzi ya kijeshi mara 29 tangu 1975.

Kwa hivyo mimi nataka CCM waondolewe, lakini sitaki utawala wa kijeshi.

Kwa mtu anayetaka kuiondoa CCM kwa sababu ya ukandamizaji, kukosa uhuru, kukosa demokrasia, kutaka kuweka utawala wa kijeshi ni ujinga.

Ni contradiction.

Ushaelewa niko upande gani sasa?
Sawaa sasa je, kiwa wananchi tutashindwa ,suluhisho ni lipi?
 
Vichwa vipo TPDF kurudisha heshima ya Tanzania kidiplomasia na ushirikiano wa kimataifa. Na Baraza la Kijeshi lina rasilimali watu wanajeshi wa kuongoza mawizara, mikoa, miradi mikubwa kama SGR Reli, Nishati gesi, umeme, kudhibiti wasiojulikana, Mahakama ya Kijeshi kusaidi Majaji wa Mahakama zetu za majaji waliopewa vyeo mserereko na CCM wasiokuwa na misimamo

View: https://m.youtube.com/watch?v=NxEuYU4U3jE
Ambassador major General Wilbert Augustin Ibuge, PS Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation speaking at the Official opening of the virtual SADC Senior Officials meeting on 10th August, 2020 and now the Head of National Defence College
 
USIKU HUU BARAKA LA KIJESHI JUNTA CHINI YA UONGOZI WA CDF JENERALI MKUNDA UMECHUKUA NCHINI ??

Tangazo lile halikurejea katiba utii kwa amiri jeshi mkuu.

Asubuhi kesho 31 October 2025 tutajua kama Baraza la Kijeshi litaongoza nchi kwa muda gani huku katiba mpya, serikali ya mpito ya kijeshi

Vyombo kama Jeshi la Polisi, Uhamiaji, Usalama wa Taifa haviwezi tena kuaminiwa na Junta.

Hivyo safu za Idara ya Usalama, Jeshi la Polisi kupanguliwa kuundwa upya, wale wanaobakia ambao hawajachafuka sana watakwenda kupigwa msasa ili vyombo hivi visiweze tena kutumika na viongozi wa serikali yoyote itakayokuja baada ya Baraza la Kijeshi kuiweka nchi sawa.
Mchim i mtoto wa Kikwete
 
Mpumbavu huyu ametumwa kuongea hivyo na wanaomlipa hela.....
 
WAJUMBE WA BARAZA LA KIJESHI 'JUNTA'

JWTZ / TPDF Wana askari wenye ujuzi wa maridhiano ya 4R za kweli kama zile walizotumia huko DR Congo kuleta amani mashariki ya Congo

TOKA MAKTABA :

28 March 2025
Goma, Kivu ya Kaskazini
DR Congo

Viongozi wakuu kijeshi wa SADC SAMIDRC na AFC mubashara katika shughuli ya maridhiano iliyofanyika hoteli ya Serena Goma ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=8CaXVcTyRJg
Mmoja wa viongozi wakuu wa kijeshi kutoka nchi za SADC kutoka Tanzania Major General Ibrahim Michael Mhona wa TPDF / JWTZ akiwa ameshika nyaraka za maridhiano.

Makubaliano hayo yalifanyika huku viongozi wakuu wa pande hizo mbili za SADC SAMIDRC na waasi wa AFC / M23 kwa bashasha na kuheshimiana huku furaha ikionekana baada ya maafikiano hayo...

Wengine waliohudhuria hafla hiyo ni General Rudzani Maphwanya, mkuu wa majeshi ya ulinzi ya Afrika ya Kusini SANDF; Lieutenant General Geoffrey C. Zyeele, kamanda wa jeshi la Zambia ; Major General Saiford Kalisha, mwakilishi wa mkuu wa majeshi wa Malawi ; Professor Kula I. wa kamati ya Stroika ya SADC ya siasa, ulinzi na mambo ya usalama

Pia mbali ya Major General Sultani Makenga; alikuwepo Brigadier General Bernard Byamungu, naibu mkuu wa majeshi ya waasi ARC / M2R; na Bahati Musanga Erasto, Governor wa jimbo la Kivu ya Kaskazini DR Congo .

TOKA MAKTABA :
19 January 2022

KOZI USALAMA NA STRATEJIA
Major General Ibrahim Michael Mhona wa TPDF / JWTZ alipata kuwa mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa, chuo mahiri kwa mafunzo ya mapana yanayohusiana na stratejia mkakati mbalimbali

View: https://m.youtube.com/watch?v=YGH4z19yylk
Katika video hii maktaba jenerali Ibrahim Michael Mhona wa anafafanua masomo ya NDC Chuo cha Ulinzi wa Taifa yanayotolewa, ambayo yana mambo mtambuka mengi
 
Back
Top Bottom