Kwani kama wanajeshi hawajamtii rais kwani huyo Mkunda ndo watamtii?Hivi mlikuwa mnategemea nini nyie watu?
Mkuu wa majeshi apindue nchi? Tanzania?
Mnalielewa jeshi la Tanzania kweli?
Mmezaliwa lini? Jana?
Shida naye anatamaa ya mali…kupata mgao kutoka kwa hao mafisadiMkuu kwa hali ilipofikia,sio kupindua Nchi bali ni kuingilia kati ili kuinusuru Nchi.......sasa hapo anafeli wapi kama kweli anazo akili timamu angalau kidogo tu
Ndo mana hata press zake anafanya peke yake. Majenerali wengine hawataki kujihusisha na upuuzi wake.Huyu general MKUNDA , sounds compromised, na inaonekana hata yeye amekwaa vigingi huko jeshini , sababu anatumika na CCM. SASA AMETUMWA KULETA HOFU..YEYE KAMA ANATAKA AMANI , ACHUKUE NCHI NA HATUTAKI CCM YEYOTE KATIKA SERIKALI YAKE YA MPITO..TOFAUTI NA HAPO HATA YEYE ATAKUA MUARIFU TU KAMA WAARIFU WENGINE
Hivi mlikuwa mnategemea nini nyie watu?
Mkuu wa majeshi apindue nchi? Tanzania?
Mnalielewa jeshi la Tanzania kweli?
Mmezaliwa lini? Jana?
Watu wa system wenye akili wamesimama na wananchi.Kwanza kitendo cha jeshi la nchi nyingine kuingia na kuua wanacnhi wetu ni ajabu sana JW wamelivumilia.
Macapteni wafanye la kufanya, Mkunda ni mtu wa system.
Logical non sequitur fallacy.Umejiona ulivyo fala?
Kwanza kuna maandamano yangefanikiwa siku ya pili leo bila support ya Jeshi? Hujaona wanajeshi wa kawaida waki wa support waandamanaji?
We ndo mana nimekwambia endelea kula hela zako za ufisadi. Mie kwako ni maji yenye kina kirefu sana. Huyawezi.
Tulia tuko serious kulikomboa Taifa. Kama hukuweza kimbia na fedha zetu tutakufikia tu
Mpaka sasa wanamtii au hawamtii CDF na Samia?Kwani kama wanajeshi hawajamtii rais kwani huyo Mkunda ndo watamtii?
Kaongea ujinga sanaWakuu Mkunda amesemaje?
Kinachoendelea mitaani unakiona. Kama una akili utajua wana mtii au hawamtii.Mpaka sasa wanamtii au hawamtii CDF na Samia?
Wanajeshi gani mnawaongelea?
Hawa kina Captain Tesha ambao wanataka turudi kwenye u Magufuli?
Wananchi gani? Wapo na wananchi kwenye lipi?Kinachoendelea mitaani unakiona. Kama una akili utajua wana mtii au hawamtii.
Wanajeshi wapo na Wananchi
We endelea kula hela za ufisadi tu. Naona unanipotezea mudaWananchi gani? Wapo na wananchi kwenye lipi?
Wananchi gani? Wanaotaka wanajeshi wapindue nchi?
Kama ni hivyo, mbona hawapindui?
Wanajeshi wanaweza kuwa na wananchi kwenye kuruhusu wananchi waandamane na kutoa hasira zao barabarani, lakini wakawa hawapo na wananchi kwenye kutaka jeshi lichukue uongozi wa nchi.
Huelewi wapi?
Bado una matumaini ya jeshi kuchujua uongozi wa nchi Tanzania mpaka saa hizi?
Utaamka lini kutoka kwenye ndoto yako hii?
Ad hominem logical fallacy.We endelea kula hela za ufisadi tu. Naona unanipotezea muda
Tukikufikia nitakukumbusha mpuuzi wna fisadi wewe.
-Ukiangalia walioanzisha maandamano siyo wananchi ni wanajeshi wamevaa kiraia wakawa wanawaita wananchi.Mpaka sasa wanamtii au hawamtii CDF na Samia?
Wanajeshi gani mnawaongelea?
Hawa kina Captain Tesha ambao wanataka turudi kwenye u Magufuli?
Sawa.-Ukiangalia walioanzisha maandamano siyo wananchi ni wanajeshi wamevaa kiraia wakawa wanawaita wananchi.
-Wewe angalia kabla ya maandamano hata hayajaanza tayari magari yao yapo. Ktk hali yoyote hawamtii huyo jamaa akienda against nao. Utii hua siyo kwa vile una cheo tu watu wakutii, hapo waafrika wengi ndo hua wana miss. Utii hutokana na wanavyokuamini wewe mwenyewe binafsi bila mawaa.
-Ilipofikia nchi hii ni inabidi ifanyiwe factory reset, vyama vyote vifutwe, mali za vyama iwe ya umma. Wanasiasa wote waliowahi kuwa wanasiasa mpaka leo wawe banned kushiriki ktk siasa. Then after few years, waendelee na utawala wa kiraia. Otherwise, ukiwaacha hawa watalithisha tabia mbaya inatakiwa kusiwepo transition ya tabia mbaya kama ufisadi nakujiona chimpompapompa.
Na hiyo ili ifanikiwe ni lazima jeshi lichukue nchi, regardless wataongoza je good or bad, the top most important thing is to get rid of these jokers.
Hawezi kukuelewa huyu mbuzi. Ni mnufaika wa Ufisadi na kazi kubwa anayofanya humu ni kurudisha nyuma morali ya watu kupigania mabadiliko.-Ukiangalia walioanzisha maandamano siyo wananchi ni wanajeshi wamevaa kiraia wakawa wanawaita wananchi.