GE2025 CDF Mkunda ameamua kusimama dhidi ya wananchi. JWTZ mnajua cha kufanya. Madagascar ni case study nzuri

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wahuni wachache katika serikali hii ya CCM hawawezi kuwazidi akili Baraza la Kijeshi ' Junta '

TPDF imetumwa operesheni nyingi nje ya mipaka ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kama DR Congo, Ushelisheli, Comoros, Mozambique, Zimbabwe halafu wakubali wahuni ndani ya Tanzania wawatumie kuumiza raia waTanzania hilo haliwezekani kwa mujibu wa dhima ya kuanzisha JWTZ kutoka jeshi malkia la kikoloni la Tanganyika Rifles King's African Rifle KRA,

TOKA MAKTABA:

TPDF / JWTZ ILIPOLETA AMANI MASHARIKI YA CONGO KWA NJIA YA KUKAA MEZANI

kidiplomasia, kiusalama na kiulinzi n.k
JWTZ / TPDF ILIVYOSHIRIKI KUWEZESHA AMANI KWA MAJESHI YA SADC KUONDOKA CONGO

View: https://m.youtube.com/watch?v=8CaXVcTyRJg

View attachment 3483310

Tanzania’s Major General Ibrahim Michael Mhona and Alliance fleuve Congo AFC military commander Major General Sultani Makenga sign the agreement on SADC troops’ withdraw, on Friday, March 28, 2025 during their meeting at Serena Hotel, in Goma DR Congo
View attachment 3496151
Serena Hotel Goma

Mazungumzo na maafikiano yaliyofikiwa yaleta furaha na pia matumaini mapya

View: https://m.youtube.com/watch?v=6kbOCGyLAZI
👆
28 March 2025
Hoteli Serena Goma
Goma, DR Congo

Mpambe wa Magufuli katika ujumbe wa maafikiano Goma

Naye aliyekuwa mpambe wa rais Magufuli , Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy mwenye Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Eneo lake la utafiti lilikuwa ni “Assessing the Effectiveness of the United Nations Peacekeeping Operations: The case of Democratic Republic of Congo and Sudan. Aonekana katika timu iliyofanikisha muafaka wa kuwezesha majeshi ya SAMIDRC kuondoka DR Congo.

Meja Jenerali Dr. Mbaraka Naziad Mkeremy alifanikiwa kutetea andiko lake na kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) wa usuluhishi (peacekeeping) tarehe 14 Disemba 2023 .

Na sasa umahiri wake katika eneo hilo la kisomi ametumika vyema na timu ya wapatanishi wa SADC kufanikisha mkwamo kuondoka na kuwezesha mazingira ya majeshi ya SADC SAMIDRC kuondoka Congo DR salama..

View: https://m.youtube.com/watch?v=MgdGyWZg9Cs

The New Times
https://www.newtimes.co.rw
DR Congo crisis: M23 agrees to facilitate SADC troops withdraw

28 Mar 2025 — Tanzania's Maj Gen Ibrahim Michael Mhona and Alliance fleuve Congo military commander Maj Gen Sultani Makenga sign the..
 
Kama umemuelewa kamaanisha maandamano ruksa, kuharibu mali no! So mnauweza kuunda Tahrir square sasa mkatulia kwa shift na watawalinda!
 
..hao walikwenda kusalimu amri kwa m23.

..walikuwa wamezingirwa na wakaona salama yao ni kusalimu amri, badala ya kupigana na kujinasua.

..majeshi ya Zimbabwe yaliwahi kuzingirwa Congo lakini wao hawakusalimu amri.

..baada ya Majeshi ya Tz, Sa, Mlw, kusalimu amri walilazimishwa kuondoa vifaa vyao kwa barabara toka Goma, Rwanda, na kuishia Tanzania ambako vilipakiwa ktk ndege katika uwanja wa Chato.
 
Uzoefu wa Maridhiano JWTZ walifanikisha waondoke kwa amani, wanautumia sasa kulamizisha serikali ya Tanzania ya CCM iipishe Baraza la Kijeshi JUNTA lirejeshe amani, haki na utawala bora kabla ya kurudisha madaraka kwa utawala wa kiraia

TAMKO LA BARAZA LA KIJESHI JUNTA
Alilolisoma CDF jenerali Jacob John Mkunda lililoandikwa kwa umakini na JUNTA,

View: https://m.youtube.com/shorts/ZjIhXHfp_Wk
 
Hizo habari za baraza la kijeshi wewe unazitoa wapi? Au ndo mwendelezo wa kujipa matumaini ya ndoto za matamanio?

Mnazusha mambo kwa manufaa ya nani?
 
Nchi za Maziwa makuu zaimulika Tanzania iliyokuwa kinara wa upatanishi, nchi hiyo sasa inawaka moto

View: https://m.youtube.com/watch?v=LiEjFynWDRA

Wanaangalia jinsi ma box ya kura yanavyopigwa mateke barabarani na waandamanaji wanaotaka mabadiliko...

Wananchi hawali miundo-mbinu... wanashangaa mabasi ya boss wa Singida Black Stars yakitiwa kiberiti...

Nyenye nye ....

Aliko reforms .... futuristic politics ....majority of voters ...Ali
 
Huyu 'CDF' tuwe makini tukiwa tunaandika jina lake ukikosea herufi moja ukaweka 'u' utakuwa umetaja mitaji ya akina Juma Lokole,Anko T.....
 
Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.

Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.

Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.

Dunia inajua, Watanzania tunajua, Samia na CCM hawana legitimacy yeyote kuendelea kuwaongoza Watanzania.

Kama vyovyote vile CDF Mkunda amekuwa compromised na Mafisadi najua mnajua cha kumfanya.

CDF wa Madagascar nae alikuwa compromised hivyo hivyo akajaribu kuwageuka Wananchi baada ya Rais Rajelina kumteua kuwa Waziri wa Ulinzi ila Wanajeshi wa Madagascar wakamuonesha Jeshi ni la Wananchi na wakampiga chini na kuchukua Nchi.

Muwekeni pembeni CDF Mkunda na ichukueni Nchi kama walivyofanya wenzenu wa Madagascar.
Binafsi nimemsoma. Ni kama hana noma huyu jamaa! Ingekuwa noma kama angetuma jeshi kushambuliwa wananchi wasiandamane.
 
Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.

Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.

Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.

Dunia inajua, Watanzania tunajua, Samia na CCM hawana legitimacy yeyote kuendelea kuwaongoza Watanzania.

Kama vyovyote vile CDF Mkunda amekuwa compromised na Mafisadi najua mnajua cha kumfanya.

CDF wa Madagascar nae alikuwa compromised hivyo hivyo akajaribu kuwageuka Wananchi baada ya Rais Rajelina kumteua kuwa Waziri wa Ulinzi ila Wanajeshi wa Madagascar wakamuonesha Jeshi ni la Wananchi na wakampiga chini na kuchukua Nchi.

Muwekeni pembeni CDF Mkunda na ichukueni Nchi kama walivyofanya wenzenu wa Madagascar.
Bado mna imani na hili jeshi lenu?
 
Back
Top Bottom