CDF Mkunda apongeza Shirika la Mzinga lililo chini ya ya JWTZ kwa kuanzisha mradi wa kokoto

Hizo crusher zinanunuliwa china ambazo hata mtu binafsi anaweza kuzinunua na kuanza kuzalisha kokoto
 
mradi huo wa kimkakati ili uwe shamba darasa kwa miradi mingine.
Huenda kuna maana nyingine ambayo haipo wazi hapa.
Brigedia Jenerali Seif Athumani Hamisi amesema mitambo katika mradi huo iliyofungwa ni ya kisasa na itakuwa na uwezo wa kuzalisha Kokoto tani mia tatu (300) kwa saa moja.
Wakifafanua kuwa mashine hizi wamezitengeneza wao, nitaanza kushangilia hapa hapa.

Lakini kama habari ndiyo hiyo kama ilivyo wasilishwa hapa, nasikitika sana kuona kwamba nchi yetu imekosa mwelekeo kabisa.
 
Yaaani anajisifia kabisa mradi wa kokoto wakati Jeshi la Ethiopia limefungua mradi wa kiwanda cha kutengeneza drones.

Kazi za kufanywa na Wawekezaji wa Kitanzania kuongeza mzunguzo wa pesa kwa Wananchi ndo wanajisikia kuzifanya. Kazi zao za msingi kwa Ulinzi wa Taifa letu katika dunia ya Sayansi ya Teknolojia hawazifanyi.

Ujinga ni kipaji Tanzania.
Nchi kuwa ya kijinga kunaanzia kwa uongozi wa nchi yenyewe. Viongozi wasiokuwa na dira kabisa ya wapi nchi wanayoiongoza inatakiwa kuelekea.
Inasikitisha sana. Miaka mingine mitano ya namna hii, tutakuwa wapi?
 
Hii ya kukosoa kila kitu inaonekana kuwa ndio mtindo wa kisasa
Sijaona ubaya ikiwa jeshi limeunda kampuni kuanzisha mradi. Humo humo utapatikana uzoefu na kuendelea kwenye kutengeneza zana nyinginezo.
 
Idara ya investment jeshini kwetu hawajafanya majukumu yao kwa usahihi. Investment zao ni kokoto,frame, maduka ya vinywaji nk. Pamoja na kua na maeneo ya muhimu sana ya ya kibiashara lakini wanaishia kujenga frame tu. Mfano Kawe pale Lugalo, Maji chumvi nk.
Mambo ya fremu ya kuchukua makodi au sio... hahahahaha
 
Kwahiyo ww unaona wapo sawa Jeshi la wananchi (JWTZ) kuinvest kwenye hizo petty businesses kwenye Karne hii ya 21.
Chief miradi niliyokupa ni yenye kufanana bila kujali karne hiyo ya karne ya 21 siifahamu... Na je ulitaka cdf akosoe au ulitaka afanyeje ndugu??
 
Wakati wenzetu marekani wameanzisha jeshi la anga za juu yani us space force.
Sisi lijeshi letu bado liko karne ya 5 huko.eti cdf anafurahia mradi wa kokoto,serious?

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, amelipongeza Shirika la Mzinga lililo chini ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kuanzisha mradi wa Kokoto mkoa wa Arusha uliopo chini ya kampuni tanzu ya shirika hilo.

Akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi leo Mei 03, 2025 la mradi huo uliopo eneo la Nanja Wilayani Monduli Jenerali Mkunda amewataka wasimamizi wa mradi huo kuwa makini na kutanguliza maslahi ya shirika na kuuendesha kwa faida mradi huo wa kimkakati ili uwe shamba darasa kwa miradi mingine.

Akitoa taarifa ya mradi huo Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Luteni Jenerali Samwel Ndomba (Mstaafu) amemhakikishia CDF Mkunda kuwa mradi huo utasimamiwa kwa umakini sana ili uwe na tija na kuchangia uchumi wa Taifa.

Kwa upande wake, Meneja Mkuu wa Shirika hilo, Brigedia Jenerali Seif Athumani Hamisi amesema mitambo katika mradi huo iliyofungwa ni ya kisasa na itakuwa na uwezo wa kuzalisha Kokoto tani mia tatu (300) kwa saa moja.

View attachment 3323848

Jeshi wanafikiria pesa tu 😳🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ M23 imewashinda
 
Chief miradi niliyokupa ni yenye kufanana bila kujali karne hiyo ya karne ya 21 siifahamu... Na je ulitaka cdf akosoe au ulitaka afanyeje ndugu??
Nilitegemea kiongozi mkubwa kama yule awe na vision kubwa..na mipango mikubwa ya kumodernize jeshi letu..kwa kutumia teknologia za kisasa..kwenye vifaa vya ulinzi na kwenye investments wanazozifanya..sio kuzindua factories za kokoto.
 
Wakati wenzetu marekani wameanzisha jeshi la anga za juu yani us space force.
Sisi lijeshi letu bado liko karne ya 5 huko.eti cdf anafurahia mradi wa kokoto,serious?

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, amelipongeza Shirika la Mzinga lililo chini ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kuanzisha mradi wa Kokoto mkoa wa Arusha uliopo chini ya kampuni tanzu ya shirika hilo.

Akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi leo Mei 03, 2025 la mradi huo uliopo eneo la Nanja Wilayani Monduli Jenerali Mkunda amewataka wasimamizi wa mradi huo kuwa makini na kutanguliza maslahi ya shirika na kuuendesha kwa faida mradi huo wa kimkakati ili uwe shamba darasa kwa miradi mingine.

Akitoa taarifa ya mradi huo Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Luteni Jenerali Samwel Ndomba (Mstaafu) amemhakikishia CDF Mkunda kuwa mradi huo utasimamiwa kwa umakini sana ili uwe na tija na kuchangia uchumi wa Taifa.

Kwa upande wake, Meneja Mkuu wa Shirika hilo, Brigedia Jenerali Seif Athumani Hamisi amesema mitambo katika mradi huo iliyofungwa ni ya kisasa na itakuwa na uwezo wa kuzalisha Kokoto tani mia tatu (300) kwa saa moja.

View attachment 3323848
Mkuu marekani ni mwenzako na nani?mfano gani sasa huo wa tz na usa?
 
Idara ya investment jeshini kwetu hawajafanya majukumu yao kwa usahihi. Investment zao ni kokoto,frame, maduka ya vinywaji nk. Pamoja na kua na maeneo ya muhimu sana ya ya kibiashara lakini wanaishia kujenga frame tu. Mfano Kawe pale Lugalo, Maji chumvi nk.
Wabuni makombora na ndege za kijeshi waache porojo! Drones za kisasa sio kokoto!
 
Watu wa ajabu kabisa nyie kwamba sio mradi au...... Kuna majengo mangapi yanajengwa na demand yake ni kubwa kiasi gani???
Safi sana. Huu ni mradi wa msingi sana. Hata vituo vya kurusha satellite huanzia kwenye kokoto.
 
Karne hii ya 21 kokoto ni kitu cha kujivunia?
Chadema haina hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu ya chama. Cha ajabu ni nini jeshi kuanzisha miradi ya kuliingizia mapato badala ya kutegemea bajeti kiduchu peke yake?
Japo mara moja moja muwe mnachanganya na zenu.
 
Wakati wenzetu marekani wameanzisha jeshi la anga za juu yani us space force.
Sisi lijeshi letu bado liko karne ya 5 huko.eti cdf anafurahia mradi wa kokoto,serious?

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, amelipongeza Shirika la Mzinga lililo chini ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kuanzisha mradi wa Kokoto mkoa wa Arusha uliopo chini ya kampuni tanzu ya shirika hilo.

Akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi leo Mei 03, 2025 la mradi huo uliopo eneo la Nanja Wilayani Monduli Jenerali Mkunda amewataka wasimamizi wa mradi huo kuwa makini na kutanguliza maslahi ya shirika na kuuendesha kwa faida mradi huo wa kimkakati ili uwe shamba darasa kwa miradi mingine.

Akitoa taarifa ya mradi huo Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Luteni Jenerali Samwel Ndomba (Mstaafu) amemhakikishia CDF Mkunda kuwa mradi huo utasimamiwa kwa umakini sana ili uwe na tija na kuchangia uchumi wa Taifa.

Kwa upande wake, Meneja Mkuu wa Shirika hilo, Brigedia Jenerali Seif Athumani Hamisi amesema mitambo katika mradi huo iliyofungwa ni ya kisasa na itakuwa na uwezo wa kuzalisha Kokoto tani mia tatu (300) kwa saa moja.

View attachment 3323848
Atachukua nchi muda sio mrefu.
 
Nilitegemea kiongozi mkubwa kama yule awe na vision kubwa..na mipango mikubwa ya kumodernize jeshi letu..kwa kutumia teknologia za kisasa..kwenye vifaa vya ulinzi na kwenye investments wanazozifanya..sio kuzindua factories za kokoto.
Umejuaje kama hana/jeshi halina hizo vision au kwa kuaa hujawahi kumuona au kuona nini kinafanyika ndani ila hiyo miradi unayoiona nje ambayo kimsingi sio jukumu kuu la jeshi..... Unazifahamu karakana za jeshi na majukumu yake?? Unafahamu vikosi vya kimkakati vya jeshi?? Unafamu mafunzo maalumua ya jeshi ndani na nje ya nchi yaliyokwisha na yanayoendelea???
 
Back
Top Bottom