Mkuu...tunatumia facts zilizopo kusema haya..kama una facts za unayoyasema..ziweke wazi...otherwise jeshi letu halina uwezo huo.Umejuaje kama hana/jeshi halina hizo vision au kwa kuaa hujawahi kumuona au kuona nini kinafanyika ndani ila hiyo miradi unayoiona nje ambayo kimsingi sio jukumu kuu la jeshi..... Unazifahamu karakana za jeshi na majukumu yake?? Unafahamu vikosi vya kimkakati vya jeshi?? Unafamu mafunzo maalumua ya jeshi ndani na nje ya nchi yaliyokwisha na yanayoendelea???