CDF mstaafu, Mabeyo aibuka na kuongelea Rasilimali. Aomba radhi kwa maneno yake

Huyu mjamaa ndio mana aliwekwa locked up Mo29.
Inasemekana anatofautiana na sistem na fununu zinasema alikua asha oganaize watu wake wafanye revo.
 
Mbona Warioba kasema alishauri hili na lile na serikali haikufuata?

Na kama hakuna political will hivyo, Mabeyo anasema ili iweje? Apate kick?
Kwenye hii nchi wapo watu wachache sana ambao wako tayari kusema chochote wanachokiamini bila kujali kama kitawachefua watawala.

Ndani ya CCM kuna watu wengi ambao hawakubaliani na direction ya nchi, lakini wako kimya. Wamebaki kulalamika chini chini tu. Nchi ngumu hii.
 
Sasa mtu kashakuwa mkuu wa majeshi halafu hajui anasimama wapi.

Hajui kama anataka kusema au anataka kukaa kimya.

Kusema hajasema, kukaa kimya hajakaa kimya.

He is neither here nor there.

Ndiyo maana mimi namuona msanii tu.
 
GT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.

Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
Ni political will
1.Bwawa la Nyerere lilihitaji mtu mbeba maono kulitekeleza,bila JPM sidhan kama lingejengwa.
2.SGR

Hii issue ya grid ya Taifa ya maji na scheme kubwa za umwagiliaji kwa jicho la kawaida kabisa ilikiwa ndio mwanzo wa Tanzania ya viwanda.

Mito yooote aliyoitaja CDF ingetengenezewa schema za umwagiliaj kwa ukubwa wa kibiashara yangeaajiri vijana wengi mnoo na hili tatizo la gen Z lisingekuwa hivi leo..

Imagine mashamba makubwa Kilimanjaro chini kwenye ile tambarare...(source of water ni mto Pangani unaoanzia juu Kilimanjaro).

Mashamba makubwa Tanga source mto Pangani.
Maji yooote ya mto pangani yanaishia baharini.
Sasa njoo na mpango kazi katika mito yooote mikubwa
(Rufiji,Ruvuma,Kagera,Ruvu,wami,Mara,Ruaha n.k)

Kama mafuta ya kupikia tunaagiza nje ya billion 500 kwa mwaka...hiyo pesa itabaki ndani ndani ya muda mfupi mnoo!

Imagine ni mazao tofaut tofauti..umaskini wetu ni wa uvivu wa kufikiria sisi sio masikini!
 
River Nile haipo Middle East wala haijavujisha maji huko 😂
Nile ipo kwenye nchi 11 Africa na sio Israel wala Jordan
Kasomea wapi hilo
Au mimi ndio sijamuelewa bandugu
 
River Nile haipo Middle East wala haijavujisha maji huko 😂
Nile ipo kwenye nchi 11 Africa na sio Israel wala Jordan
Kasomea wapi hilo
Au mimi ndio sijamuelewa bandugu

Nimemsikiliza hata mimi nikajiuliza ama kuna point sijamuelewa?

Viongozi wengi wa Tanzania ni wajinga kuliko tunavyofikiri.

Unaweza kumsikiliza huyu mtu ukampa heshima sana kwa kuwa alikuwa CDF, ukafikiri anajua hata Geography ndogo ya nchi zilivyojipanga tu.

Kumbe hata Geography hajui.

Sasa mto Nile na Lebanon na Jordan wapi na wapi?
 
Sasa mtu kashakuwa mkuu wa majeshi halafu hajui anasimama wapi.

Hajui kama anataka kusema au anataka kukaa kimya.

Kusema hajasema, kukaa kimya hajakaa kimya.

He is neither here nor there.

Ndiyo maana mimi namuona msanii tu.
Kumbuka mazingira ya speech yake. Hajaitisha press conference ili aseme ambacho tumekisikia. Hata ukiisikiliza speech yake nzima naamini utatoka na picha tofauti na ambayo umeitengeneza kutokana na videoclip iliyokuja na uzi huu.

Ukipata muda sikiliza speech yake yote. Hii hapa chini:

 
Tukubali maendelea hayaji kwa porojo kama hizi.

Tuwajibike kwa vitendo kwa viongozi na wananchi kwa ujmla
 
Kama Kabudi alikunywa juice ya Madagascar unategemea hawa watu wako sawa?

Yaani Mobeyo anajua Nile na Mediterranean Sea ni moja
Halafu tuna waandishi bogus pia
Mimi ningemkosoa hapo hapo
 
Mabeyo kajiaibisha anasema mto Nile maji yake yanatumika Lebanon na Jordan.

Hajui hata Geography?

Mtu kawa mkuu wa majeshi hajui hata Geography?
 
Mabeyo kajiaibisha anasema mto Nile maji yake yanatumika Lebanon na Jordan.

Hajui hata Geography?

Mtu kawa mkuu wa majeshi hajui hata Geography?
If you allow yourself to get lost in minor details you surely will miss the big picture! Eliminating the mention of Lebanon and Jordan doesn’t change a thing!
 
Tatizo ni chadema
 
ungeweza kuandika kwa kifupi tu na ukaeleweka
 
Utumishi Wake Wamiaka Yote Alishindwa Kushauri Na Kupendekeza

Leo Hii Kuongea Ukiwa Raia Wakawaida Sioni Kama Hoja Zako Zitakuwa Na Nguvu
 
GT
Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa.

Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning 🔥 inside samia government wazalendo wnapuuzwa
Mimi naamini hili taifa bado lipo na watu makini Sana, hawa wanaofanya mambo ya kinyama , kama kuteka ,ni vimbwengo waliovamia mtumbwi wa vimbwengo.

Ila hii nchi ina watu , ina misingi , ipo na mambo mazito ,unaweza kuta ukimuacha ,Mwalim, Mwinyi, waliofuata wenda wanajua mambo machache sana juu ya Taifa hili, that's mambo yanazidi kuwa mabaya.

Mfano leo inamwagika damu kubwa ambayo wazee wanasema hata vita ya Kagera haikutokea, hujiulizi ,ushutuki , sio aya twende
 
Hata mwanaume anaweza kuwa kiongozi mpumbavu na emotional pia. Tena anaweza kuongoza hovyo kuliko hata Samia
Uongozi haujali jinsia, Samia anashindwa kuongoza nchi vizuri kwa sababu ana uwezo mdogo wa kufikiri. Sio kwa sababu ni mwanamke
 
Ateuliwe waziri wa maji. Hawa jamaa kama wamekuja leo Tanzania. Kumbe walikuwa na nafasi kubwa na zenye ushawishi kabisa kuifanya serikali ifanyie kazi hii changamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…