CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

Acha ubaguzi
 
Yaani nilichojifunza wakati wa ugonjwa mpaka Rais anafariki, nchi ilikuwa na ombwe kubwa Sana. Hakukuwa mwenye Maamuzi na ndipo tunaambiwa pesa ziliibiwa Sana hapo
 
Wale jamaa wanavyipindisha matokeo ya Uchaguzi kila leo wakadhani watapindisha na hilo.

Inaonekana wana nguvu kubwa na backup ya kutosha.

CDF walimwogopa sababu ana mitulinga[emoji1][emoji1]
Yaani hapa CDF ndio angejitwalia utukufu aisee, angeadhibu wahuni wote wasionheshimu katiba
 
Ungefanyika uchaguzi mdogo akapatikana raisi wa hovyo, Leo hii nyimbo ingekuwa walitengua katiba. !
Huwa hamjielewi .
 
Ni ujumbe mzito, kila mtu atafakari kivyake. Hakika Mabeho alicheza game la uhakika tena la kisomi.
 
Kilichonishtuwa Mimi kumbe ingewezekana leo Ndugai ndio angekuwa Rais?

Mungu anaipenda Sana Tanzania ni heri ya huyu mama kuliko nchi ingekabidhiwa Kwa machawa, huyu Ndugai kuna kipindi alihamia Chato kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…