Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,229 Reaction score 13,442 Jul 5, 2011 #681 Asanteni kwa taarrifa wengine tulikuwa hatujui kinachoendelea
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Jul 5, 2011 #682 Simba wanaonana sasa.......Boban anazubaaa........Kona
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Jul 5, 2011 #683 Simba wataijutia sana hii nafasi waliyoipata..... Hongera kwa kipa wa Bunamwaya.... Simba wanashambulia sasa..................Tatizo vishuti vyao ni hafifu Bunamwaya wamechoka sasa
Simba wataijutia sana hii nafasi waliyoipata..... Hongera kwa kipa wa Bunamwaya.... Simba wanashambulia sasa..................Tatizo vishuti vyao ni hafifu Bunamwaya wamechoka sasa
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Jul 5, 2011 #684 Simba waitumie vizuri nafasi hii ya Bunamwaya kuchoka.......Naona Salum Machaku kalet uhai kwenye safu ya ushambuliaji..... Simba wanazheza faulo za kipuuzi sasa...............aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh
Simba waitumie vizuri nafasi hii ya Bunamwaya kuchoka.......Naona Salum Machaku kalet uhai kwenye safu ya ushambuliaji..... Simba wanazheza faulo za kipuuzi sasa...............aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jul 5, 2011 #685 Wachezaji wamechoka hata control hakuna!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Jul 5, 2011 #686 Kweli Tanzania mpira bado sana...........Huyu Salum Machaku hovyo kabisa......Anapiga kanzu kwenye 6!!!!!!!!!!!
Kweli Tanzania mpira bado sana...........Huyu Salum Machaku hovyo kabisa......Anapiga kanzu kwenye 6!!!!!!!!!!!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jul 5, 2011 #687 Nusura wajifunge hawa bunamwaya.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Jul 5, 2011 #688 Kona kuelekea lango la Bunamwaya.......Dakika ya 80... Wanaokoa...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jul 5, 2011 #689 Na hii nayo itaweza kufika hadi penati!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Jul 5, 2011 #690 Machaku alianza vizuri alipoingia lakini sasa hivi anaharibu tu... Nico Wadda for Owen Kasule(substitution ya Bunamwaya)......Owen Kasule kachemsha leo...
Machaku alianza vizuri alipoingia lakini sasa hivi anaharibu tu... Nico Wadda for Owen Kasule(substitution ya Bunamwaya)......Owen Kasule kachemsha leo...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jul 5, 2011 #691 dk 83 gooli, Jerry Santo!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Jul 5, 2011 #692 Goooooooooooooooooal Simba 2 Bunamwaya 1.....Jerry Santo
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jul 5, 2011 #693 dk 84, Simba 2-1 Bunamwaya
saitama_kein JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 981 Reaction score 99 Jul 5, 2011 #694 Kila la heri simba.....kila la heri tanzania soka!!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Jul 5, 2011 #695 Safi sana Simba......Mnastahili ushindi... Waache uzembe sasa.... In Kaseja I trust..... Bunamwaya wamechoka......Wanacheza offside trick sasa
Safi sana Simba......Mnastahili ushindi... Waache uzembe sasa.... In Kaseja I trust..... Bunamwaya wamechoka......Wanacheza offside trick sasa
Mhindih JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 331 Reaction score 68 Jul 5, 2011 #696 Afadhali maana presha inapanda na umeme wamekata now. Mungu saidia Simba
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jul 5, 2011 #697 Mpira sasa umechangamka...
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Jul 5, 2011 #698 Simba wakikaza wanaweza kufunga goli la 3
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jul 5, 2011 #699 dk 88 Simba 2 bunamwaya 1.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Jul 5, 2011 #700 Dk ya 90.... Sadala Dumba for Ronald Seku(Sub ya Bunamwaya).... Kipa wa Bunamwaya ni mzuri sana .......Ulimboka naye kachoka,anapoteza mipira sana
Dk ya 90.... Sadala Dumba for Ronald Seku(Sub ya Bunamwaya).... Kipa wa Bunamwaya ni mzuri sana .......Ulimboka naye kachoka,anapoteza mipira sana