CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Simba wataijutia sana hii nafasi waliyoipata.....

Hongera kwa kipa wa Bunamwaya....

Simba wanashambulia sasa..................Tatizo vishuti vyao ni hafifu

Bunamwaya wamechoka sasa
 
Simba waitumie vizuri nafasi hii ya Bunamwaya kuchoka.......Naona Salum Machaku kalet uhai kwenye safu ya ushambuliaji.....

Simba wanazheza faulo za kipuuzi sasa...............aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh
 
Wachezaji wamechoka hata control hakuna!
 
Kweli Tanzania mpira bado sana...........Huyu Salum Machaku hovyo kabisa......Anapiga kanzu kwenye 6!!!!!!!!!!!
 
Kona kuelekea lango la Bunamwaya.......Dakika ya 80...

Wanaokoa...
 
Machaku alianza vizuri alipoingia lakini sasa hivi anaharibu tu...

Nico Wadda for Owen Kasule(substitution ya Bunamwaya)......Owen Kasule kachemsha leo...
 
Safi sana Simba......Mnastahili ushindi...

Waache uzembe sasa....

In Kaseja I trust.....

Bunamwaya wamechoka......Wanacheza offside trick sasa
 
Afadhali maana presha inapanda na umeme wamekata now. Mungu saidia Simba
 
Dk ya 90....

Sadala Dumba for Ronald Seku(Sub ya Bunamwaya)....

Kipa wa Bunamwaya ni mzuri sana .......Ulimboka naye kachoka,anapoteza mipira sana
 
Back
Top Bottom