CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Taita kupiga shoot ikawa kona
 
Yanga wamefanya shambulizi hapa, kona upande wa yanga.
 
dakika ya 10 Simba 0 :Yanga 0
 
kona ya 3 kwa simba kuelekea goli la Yanga
 
Ngoma inogile.......

So far Simba wanacheza vizuri,wanacheza mpira wa kuelewana tofauti na Yanga ambao bado hawajatulia....

Kona ya 3 kuelekea lango la Yanga...

Simba wanakosaaaaaaaaaaaaaaaa

Berko si mzuri kwa mipira ya krosi/kona.....inamshinda

Dakika ya 14 sasa
 
duh wameokoa kwenye line shuti la Mkina
 
Bundi bado kaweka makazi golini kwa yanga, dah Simba wanakosa goli la wazi kabisa. Yanga wamezidiwa kila idara!
 
yanga wanatufanyia faulo kama nini hadi sasa wamefanya faulo4
 
Mwinyi Kazimoto anaonesha vitu vyake hapa...

Yanga wamezidiwa dakika hizi 15 za mwanzo...

Dakika ya 15

Simba 0:0 Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…