Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Nsajigwa ana kimuhemuhe cha miguu
Ni kawaida kwa mechi za simba na yanga, timu zinakamiana sana!Mpira mbovu sijapata kuona! Butu butu
Yule kijana ni soo!Yanga wana bahati sana mtoto Kazimoto kuumia.....ile mashine balaaa!!
hakuna mwenye link na sie wa ughaibuni tupate kuuona?
Banka kashindwa kuziba pengo la Kazimoto!Yanga wameshatulia sasa........Simba wameanza kupwaya ple kati kati baada ya Mohammed Banka kutoka.....So far mchezo kwa timu zote si mzuri.....Butua butua nyingi