CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Pengo la Mwinyi Kazimoto linaonekana.

Faulo kuelekea Simba

Oscar Joshua anapaisha baada ya deflection inakuwa kona....
 
Yanga kiasi sasa wanaonekana kutulia...dakika ya 35!
 
Yanga wameshatulia sasa........Simba wameanza kupwaya ple kati kati baada ya Mohammed Banka kutoka.....

So far mchezo kwa timu zote si mzuri.....Butua butua nyingi
 
Simba wangekuwa na washambuliaji wazuri wangekuwa wameshafunga time hii......
 
Yanga wameshatulia sasa........Simba wameanza kupwaya ple kati kati baada ya Mohammed Banka kutoka.....So far mchezo kwa timu zote si mzuri.....Butua butua nyingi
Banka kashindwa kuziba pengo la Kazimoto!
 
wachezaji wote wameanza kucheza mipira, kiasi kwamba utamu unapotea
 
Back
Top Bottom