Banka kashindwa kuziba pengo la Kazimoto!
Uli kakosa goli mpira umepaa juu
Naona simba wanacheza sana offside trick sasa taita anajikuta ameotea kila wakati
Banka ataivyo anajitaidi; ni majeruhi, apo alipo anacheza akiwa kwenye dozziBanka kashindwa kuziba pengo la Kazimoto!
Asante Mkuu, umetusaidia sana tulio mbali.
Kweli kabisa maana timu hizi ndizo zinatoa wachezaji wa timu ya taifa.Jamani kwa mpira huu tusitegemee timu ya taifa kufanyaa maajabu....kwa kweli tuna safari ndefu ila twaga kwa kujikongoja....Twiga Stars are much better