CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Naona simba wanacheza sana offside trick sasa taita anajikuta ameotea kila wakati
 
Jamani kwa mpira huu tusitegemee timu ya taifa kufanyaa maajabu....kwa kweli tuna safari ndefu ila twaga kwa kujikongoja....Twiga Stars are much better
 
Kweli kabisa maana timu hizi ndizo zinatoa wachezaji wa timu ya taifa.
 
Back
Top Bottom