Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Yaani kazi kweli kweli! bora hawa wachezaji wangejitune kwamba "tunaenda kucheza soka" sasa hiyo akilini haipo kwahawa wa leo matokeo yake mpira umekaa kushoto kabisa labda mbeleni!hata wewe kumbe umegunduwa ndio naliona hapa yanga wanatumia maguvu ya kuruka tu pembeni ubavu usiokuwa na msingi na washika vibendera wanapepea uongo tu kibendera.
Si wamtoe huyo potelea mbali aingie Asamoh ambae ni afadhaliHuyu Mwape anawaharibia Yanga tu......
Tatizo letu tukiambiwa unasema zalau....sawa Kova...mria mzuri kweli!!
Duh mshika kibendera tuooooooooooookoteeeeeeeeeeeeeeeeee duh anawabeba YANGA sasa.
Umeona hiyo faulo ya Cholo......Mbona wamepeta?Duh mshika kibendera tuooooooooooookoteeeeeeeeeeeeeeeeee duh anawabeba YANGA sasa.
Dah wadau nimejificha na laptop yangu kwenye kabati maana presha inapanda presha inashuka na timu yangu Yebo yebo lohh endeleeni kutupa update nashukuru sana wadau
Ahahahaaah!! Mkuu toka tu huko kabatini upunge upepo hapo nje!Dah wadau nimejificha na laptop yangu kwenye kabati maana presha inapanda presha inashuka na timu yangu Yebo yebo lohh endeleeni kutupa update nashukuru sana wadau
Butua butua nyingi sana....jamani eenh tuache ushabiki mpira ushapoteza dira huu tunasubiri timu mmoja ibahatishe goli basi tujifariji kombe limebaki bongo kkn HAKUNA KIWANGO KINACHOONESHWA UWANJANI. nishachoka mie