CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Simba wanafanya ujinga mwishoni sasa.............ebo!!!!

Mpira umekwisha...
 
Mpira umeisha simba nusu fainali na el mereikh!
 
watani, sisi tunatangulia nusu fainali, karibuni tukiwa wawili tutasaidiana.
 
Simba pamoja na kutokuwa na Striker wa kueleweka kwakweli wamecheza, ushindi wa leo ni haki yao.
 
Full Time Simba 2:1 Bunamwaya

Simba watacheza Nusu fainali na El-Mereikh

Hongereni sana watani zangu Simba,naombeni kesho tuungane kwa pamoja kuiombea na kuishangilia Yanga ili ishinde na hatimaye ifuzu Nusu fainali angalau tuwe na timu 2 kwenye nusu fainali hivyo kuongeza uwezekano wa Kombe la Kagame 2011 kubaki Tanzania....

Mungu ibariki Tanzania,Mungu zibariki Simba na Yanga.........

Kwa pamoja tunaweza kulibakisha kombe Tanzania......

Bala.
 
Full Time Simba 2:1 Bunamwaya Simba watacheza Nusu fainali na El-MereikhHongereni sana watani zangu Simba,naombeni kesho tuungane kwa pamoja kuiombea na kuishangilia Yanga ili ishinde na hatimaye ifuzu Nusu fainali angalau tuwe na timu 2 kwenye nusu fainali hivyo kuongeza uwezekano wa Kombe la Kagame 2011 kubaki Tanzania....Mungu ibariki Tanzania,Mungu zibariki Simba na Yanga.........Kwa pamoja tunaweza kulibakisha kombe Tanzania......Bala.
jinc wapenzi wa yanga walvyozomea leo cjui kama itawezekana
 
Simba pamoja na kutokuwa na Striker wa kueleweka kwakweli wamecheza, ushindi wa leo ni haki yao.

Simba wamecheza vizuri zaidi dakika 20 za mwisho.....

Ila nawapongeza sana Bunamwaya,pamoja na uchanga wao wanacheza mpira/mchezo mzuri sana......

Ni vema Simba wakajipanga vizuri sana kuwakabili El-Mereikh,warekebishe uzembe wa safu ya kiungo na beki yao......Pia ni vema wakawanoa washambuliaji wao,safu ya ushambuliaji ya Simba ni butu sana........
 
Mechi ilikuwa ngumu sana. Mshindi wa hapa anaweza kuwa bingwa wacpo dharau.
 
timu ya simba ya tanzania imetinga nusu fainali ya michuano ya kombe la bagame baada ya kuifunga timu ya bunamwaya ya uganda goli mbili kwa moja. Sasa timu ya simba sasa itakutana na timu ya el mereikh ya sudan.
 
watani, sisi tunatangulia nusu fainali, karibuni tukiwa wawili tutasaidiana.

Mtani
Mkajiandae kwa penati maana hao El Mereikh wanapiga penati balaa
Hongereni kwa kuruhusu bao na kufuzu semi final, maana nilisema kundi lenu lilikuwa madudu tu
Sasa subili uone Red Sea kesho
 
ukweli utabaki pale pale hatuna uzalendo tunashangilia team pinzani za nje yan Usimba na Uyanga nomaaaaaa..!

Play your part bana
Kama wewe ni mzalendo wa kweli huwezi iga usimba na uyanga unaouona
 
Back
Top Bottom