Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Simba wanafanya ujinga mwishoni sasa.............ebo!!!!
Mpira umekwisha...
Mpira umekwisha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bravo bravo SIMBA..............................Mpira umeisha simba nusu fainali na el mereikh!
jinc wapenzi wa yanga walvyozomea leo cjui kama itawezekanaFull Time Simba 2:1 Bunamwaya Simba watacheza Nusu fainali na El-MereikhHongereni sana watani zangu Simba,naombeni kesho tuungane kwa pamoja kuiombea na kuishangilia Yanga ili ishinde na hatimaye ifuzu Nusu fainali angalau tuwe na timu 2 kwenye nusu fainali hivyo kuongeza uwezekano wa Kombe la Kagame 2011 kubaki Tanzania....Mungu ibariki Tanzania,Mungu zibariki Simba na Yanga.........Kwa pamoja tunaweza kulibakisha kombe Tanzania......Bala.
Simba pamoja na kutokuwa na Striker wa kueleweka kwakweli wamecheza, ushindi wa leo ni haki yao.
jinc wapenzi wa yanga walvyozomea leo cjui kama itawezekana
ukweli utabaki pale pale hatuna uzalendo tunashangilia team pinzani za nje yan Usimba na Uyanga nomaaaaaa..!It can be done........Play your part....
kwani goli moja si ushindi?hongera simba kwa ushindi wa goli moja..
watani, sisi tunatangulia nusu fainali, karibuni tukiwa wawili tutasaidiana.
ukweli utabaki pale pale hatuna uzalendo tunashangilia team pinzani za nje yan Usimba na Uyanga nomaaaaaa..!