Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini Chadema Cecil Mwambe ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya kuangushwa vibaya na mpinzani wake Suleiman Mathew.
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti imekwenda kwa Salum Baruhan ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Lindi mjini kupitia CUF
Kushindwa kutetea nafasi yake kwa Cecil Mwambe ambaye pia ni mgombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa inaonyesha ni salaam maalum za wanachadema kwake kuelekea uchaguzi mkuu wa chama hicho Desemba 18
*Matokeo Kanda ya kusini*
MWENYEKITI
1. Suleiman Methew Luwongo kura 53 =59.55%
2.Cecil David Mwambe kura 31= 34.83%
3.Mansa A. Nyuchi kura 3= 3.37%
4. Willy T.Mkapa kura 02= 2.25%
MAKAM MWENYEKITI
1.Salum Khalfan Barwan kura 53= 59.6%
2.Mahadini Yusuph Mmoto kura 36 =40.4%
MWEKAHAZINA
1.Mario Efrem Millinga kura 54 = 60.7%
2.Zubeda Hassan Sakuru kura 35 =39.3%.