Asanteni Chadema ukanda huo kujitambua kuchuja wasaliti.
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini Chadema Cecil Mwambe ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya kuangushwa vinaya na mpinzani wake Suleiman Mathew.
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti imekwenda kwa Salum Baruhan ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Lindi mjini kupitia CUF
Kushindwa kutetea nafasi yake kwa Cecil Mwambe ambaye pia ni mgombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa inaonyesha ni salaam maalum za wanachadema kwake kuelekea uchaguzi mkuu wa chama hicho Desemba 18

Nyani haoni kundule,watendaji kata walikimbia niniChadema zaidi ya kaole
Hiyo siyo habari!Pia Selasini ameangushwa na Godbless Lema huko Arusha
Hahahaaa........ sasa hujapendezwa nini wakati mwenzio anashangilia!Paragraph ya mwisho sijapendezwa nayo kuandikwa kutoka kwako wewe! Nadhani utakuwa umenielewa, acha hayo tuongee sisi
Ila angechukua ile fomu mnayoipenda basi ingekuwa habari. Hovyo sana wewe!Hiyo siyo habari!
Ukionyesa nia ya kutikisa ngome za baadhi ya watu, it seems like unakuwa umecross line na HUVUMILIKI tena 🤣..cdm mnatakiwa mvumiliane
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini Chadema Cecil Mwambe ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya kuangushwa vinaya na mpinzani wake Suleiman Mathew.
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti imekwenda kwa Salum Baruhan ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Lindi mjini kupitia CUF
Kushindwa kutetea nafasi yake kwa Cecil Mwambe ambaye pia ni mgombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa inaonyesha ni salaam maalum za wanachadema kwake kuelekea uchaguzi mkuu wa chama hicho Desemba 18
Tatizo ni ngumu sana kulijua kapi maana hata wale watu waliokuwa wanadhaniwa kuwa makini, mwisho wa siku walikwenda kupiga goti Lumumba. Bashiru keshasema ana barua kadhaa za wabunge wa Chadema wanaoomba kwenda CCM. Japo hii inaweza kuwa fix ila isipuuzwe piaMakapi yadhibitiwe. Ssio kufanya uchaguzi leo mwakani mtu anaunga mkono juhudi ili halikubaliki hata kidogo makapi yachujwe yote.
Hahahaaa.........hapo angeshinda Selasini au huyo nabii Lema ndio " wale wale " au wewe unaona tofauti bwashee sam?!!Ila angechukua ile fomu mnayoipenda basi ingekuwa habari. Hovyo sana wewe!
..cdm mnatakiwa mvumiliane.
..ushindani ktk uchaguzi isichukuliwe kuwa ni uadui.
..siyo vibaya kushangilia ushindi, lakini pia mhakikishe wale wanaoshindwa mnawa-embrace na kuwatia moyo.