Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Pfunk lizaliwa kwenye familia ya kikristo alipewa jina la Pau
Mama yake (Rip) ni Mbena wa Njombe, wabena wengi wakristo
P Funk alisilimu mwenyewe

hata kuoa anaoa kiislam

View attachment 2940065
Sio kweli. Upande wa mama yake ni waislamu ( kuna wabena waislamu ingawa sio wengi) na alipewa jina la Khalfan kwa sababu hiyo.
 
Asilimia kubwa ya wanaobadili dini ukubwani unakuta Kuna fuse Fulani kwenye UBONGO imelegea

🔹 Wingi unakuta ni depression za Maisha

🔹 Wengine ni ushawishi kwenye ajira wameshinikizwa hivyo ili kulinda ajira zao hasa zinaziusiana michezo michezo au Makampuni ya Matajiri wenye Imani hizo

🔹 Ushawishi wa wanawake, Kuna baadhi ya dini hutumiwa wanawake kama nyenzo za kueneza dini

🔹Limbwata la pilao
 
Ukiwa mkristo namaanisha mkristo kweli ukachangamana na wasio wakristo (mfano Timu ya mpira) then wakataka kuleta ndumba huwa hazifanyi kazi. Kuna mtu alitolewa kwenye timu unless asilimu ndo apewe namba. Jamaa aligoma alivunja mkataba na leo ni mkulima wa mpunga.
 
oya hyu wa mwisho mlipokeaje hela za watu ontario alizokula forex amerudisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…