Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Hapa sasa ndo waislamu wanafurahi,,ila ingekuwa kinyume chake ungeona nyukilia zinarushwa hapa.
 
Mtu kaakaa kabisa kaanza kufuatilia huyu dini gani na alikuwa dini ipi kabla. Akaja hapa akaanza kuandika😄.
Hebu tutafute hela Ndugu wananji
😀😀😀, Umeongea point, Ukiwa na hela mambo kama haya huwezi kufuatilia kabisa, mleta thread hana tofaut na wale wanaokaa vibarazani kupiga soga.
 
Wengi wao hapo sababu ni kuoa au kuolewa, KATAA NDOA NJOONI MSEME NENO WALAHI!!
 
Na hapo wengi ukifuatilia sababu ya kubadili ni kei 🤦‍♀️
Na deal za pesa, waislam hawakupi deal kama wewe ni mkristo, mfano stand za mabasi, zaman wamiliki wengi wa mabasi walikuwa waislam ,basi vijana wengi walilazimika kubadili dini ili wapate Ile kuuza tiketi tu, na wengine wakawa Wana majina mawili, stand ni Hussein mtaani ni sanctus na kanisan anaenda, Akina GSM,Mo ,bakhalesa Wana nguvu sana kwenye imani za ndugu zetu masikini,
 
mimi ni mkristo safi ila wiki hii naenda kusilimu niwe muislimu ibada ya kuchanganyika na wanawake ibada ya kwaya imenichosha hata mungu kachoka
Hahahaha kwanini unadanganya kuwa wewe ni mkristo wakati kuna siku kibao tushabishana kuhusu dini?halafu masjid haram mbona wanaswali huku wamechanganyika wanaume na wanawake?
 
Kama maunda alikuwa muislamu mbona alizikwa kikristo?
 
Sikulaumu kutokana na ufinyu wako wa elimu. Ungejua kwanza maana ya majini basi tungeweza kuzungumza kidogo .
 
Umemsahau bosi wao Joseph Kusaga.
 
Ni uzinzi tu umechangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…