CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa

CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa

P2p ina maana hakuna server mtu akitaka file basi linatoka kwenye vifaa vya watu, ukisha download file una seed kwa watu wengine ili na wao waweze kudownload, Telegram haipo hivyo na ina server zake mbalimbali duniani na operational centre ipo Dubai, so sio p2p.
unajua watanzania wengi tujitambui.P2P inaweza kuja kwako kama mshiriki na ikajaza packet au vipande kwako bila kujua na ukawa mshiriki sababu na wewe ni mshiriki
 
Hata mimi jana Telegram imenisumbua. Pavel amekamatwa kwa makosa ya Telegram kuchapisha maudhui yanakokinzana na haki za binadamu na makosa ya jinai. Telegram hamna regulation hata wauza madawa wapo, sexual traffickers wapo.

Sidhani kama ni makosa makubwa sana kwake, angekamatwa kwao Urusi ndio ana kesi kubwa ila cha ajabu serikali ya Urusi inaitumia sana Telegram maana raia hawaziamini sana source rasmi za serikali.
Because of it extreme privacy features. Wanachotaka western gov ni kuweza kusoma mawasiliano ya telegram kitu ambacho kimekuwa kigumu sana kwao
 
unajua watanzania wengi tujitambui.P2P inaweza kuja kwako kama mshiriki na ikajaza packet au vipande kwako bila kujua na ukawa mshiriki sababu na wewe ni mshiriki
Wewe lugha yako na ujenzi wa mantiki hukupa shida sana,nimeona pahala umesoma udom,chuo kilichojengwa kuanzia 2006,sijui elimu yako nyuma ya chuo ulipita shule gani!..yaani hadi kiswahili kinakupa tabu
 
Moja kati ya mtandao ambao algorithm zake zimeandikwa kwenye very strong engine ila kwa Tz huu mtandao umeshaharibiwa sana nowadays hata ukimuona binti ako na app ya tele kwenye simu yake unaanza kumtilia shaka kwanza.
 
algorithm aziwezi kuwa kwenye telegram.telegram kuna neuron ambazo kujua akili mfano unatafuta akili ya ccm hip matokoni inageuka inakwambia ni na NABii toti
 
Back
Top Bottom