CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo.

Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
 
Aliteuliwa kua CEO wa Simba lakini serikali ya Tanzania haikumpa vibali vya kufanya kazi nchini na haikutoa sababu, baada ya muda ndo zinakuja taarifa za uteuzi huko Kagame land
Huyo CEO anajulikana muda mrefu tu ni mnyarwanda mwenye mahusiano mazuri na serikali ya Kagame, hakuna kitu kikubwa kilichojificha ambacho serikali ilikiona. Ni kawaida kwa serikali ya Tanzania kutopendelea Wanyarwanda na Wakenya washike nafasi kubwa nchini.
 
Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo.

Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
Bila simba kagame asingemuona!
 
Back
Top Bottom