gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Wewe umesema kwani akiwa ceo wa simba ataleta athari gani? Na mimi nikakujibu jasusi anaweza kufanya kazi sehemu yoyote na akaleta madhara kwa nchi that's my point.Duh!
Wabongo mnaojua Ujasusi bana, mpo vizuri kweli. Halafu mimi nimeuliza tu kwani nimesema kuna kitu najua?