CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

Hata kama angekuwa ni Jasusi, Je, being CEO wa Simba ingeathili nini nchi?
Hili ni swali zuri sana.
Maana kuwazuia majasusi wa Kagame kupata hata uwaziri nchi hii ni vigumu.

Wapo baadhi walifanya kazi hadi wamestaafu lakini mtu kwao hawakuwahi kupasahau kwao na watu wao.
Walibebana sana na wana siri kubwa ukiwa na akili hizi zetu za kujibia mitihani tu huwezi kujua

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo.

Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
Jamaa ni senior kipenyo.
 
Hili ni swali zuri sana.
Maana kuwazuia majasusi wa Kagame kupata hata uwaziri nchi hii ni vigumu.

Wapo baadhi walifanya kazi hadi wamestaafu lakini mtu kwao hawakuwahi kupasahau kwao na watu wao.
Walibebana sana na wana siri kubwa ukiwa na akili hizi zetu za kujibia mitihani tu huwezi kujua

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tumekuwa makini ku screen wanaokwenda kwenye club kama ya Simba, huku serikalini wakiwa wamejazana.
Achilia mbali wale watanzania ambao walishafikiwa na foreign agents wakabadilishwa akili na sasa wanafanyakazi kama watanzania lakini wanafanya wana report nje ya nchi tena hawa ni wengi , kuna hadi vingozi na wenza wa viongozi.
 
Ona hii kiazi inaongea itadhani imeishia std 7.
Inawezekana pamoja na kiwa na Post-doctoral bado ukabaki kuwa finyu, ndiyo maana hata swali likakushinda. Kwani hiyo elimu yenu si ndiyo hii inawapeleka kuingia mikataba ya kduanzi na kushindwa kesi kila uchao?
 
Watanzania tumebaki kujisifia Elimu kubwa huku tukilala na mitungi ya gesi ndani life kama nyokaa wa madini ila mtaani sasa tuna zogo la Elimu kama watu kweli.
 
Watanzania tumebaki kujisifia Elimu kubwa huku tukilala na mitungi ya gesi ndani life kama nyokaa wa madini ila mtaani sasa tuna zogo la Elimu kama watu kweli.
Ukiwakuta humu mitandaoni wakijipandisha kielimu na kuwashusha wengine, unaweza usifikiri siyo wale akili zao huwa zinabadilishwa kwa na mienendo ya Club za Simba na Yanga huku wakiwacheka wakenya kwa kufuatilia mipango ya maendeleo ya nchi yao kuwa ni kupenda vurugu
 
Nilisema sikusemaaaaaaa, mtukufu malkiaa naona naonaaaaaa dili lilibumba kihalali
 
Tuna safari ndefu sana, inabidi tuuvuke huu mpaka wa xenophobia.

That has nothing to do with national security.
 
Back
Top Bottom