CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

Duh!
Wabongo mnaojua Ujasusi bana, mpo vizuri kweli. Halafu mimi nimeuliza tu kwani nimesema kuna kitu najua?
Wewe umesema kwani akiwa ceo wa simba ataleta athari gani? Na mimi nikakujibu jasusi anaweza kufanya kazi sehemu yoyote na akaleta madhara kwa nchi that's my point.
 
Serikali iliona mbali katika lipi?
Kuna tatizo gani CEO mnyarwanda kuteuliwa na kupewa kazi katika serikali ya Rwanda ??
Mkuu elewa na tafakari..serikali iliona mbali...tafakari tena amerudi na kupewa wizara..
 
Serikali yetu haipendelei Wanyarwanda washike madaraka makubwa nchini? Ikawaje ikashindwa kumuona yule mtu mkubwa,kijana mwenye mwanya?
 
Wasiojulikana wanaiandama Simba wakati wao wenyewe yule katibu wa mama Yao sijui waziri ni mnyarwanda kabisa.
 
Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo.

Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
Aliemwajiri au kimscout Simba aangaliwe, anaweza kuwa wakala wa PK pia.
 
Ndiyo Mariam mtoto wa Mwalimu Masenge na dentist (Dr. Masenge) kuzaliwa Arusha na kukulia Arusha Sanawari Ni Wahangaza wa Ngara ulitaka kusema nini Kwani??
Uhangaza ni bosheni tu. mwana PK.
 
Serikali iliona mbali katika lipi?
Kuna tatizo gani CEO mnyarwanda kuteuliwa na kupewa kazi katika serikali ya Rwanda ??
Alikuwa shushu mkuu that's why working permits ziligoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…