Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
StartimesInapatikana wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
StartimesInapatikana wapi ?
Basi tuna shida kubwaUmasikini wetu ni matokeo ya kutopenda kutojifunza
Bora huko DSTV bure startimes usipo lipia haupati kitu.Naipenda sana sana halafu hata kama hujalipia kingamuzi cha DStv wanaonyesha Bure kabisa
Kama sijakosea ni channel 348
Kumbe wadau mpo wengi.CGTN ni bonge la channel. Nilianza na CCTV sasa nimeongeza CGTN
😀 Wasanii wa bongo wanachangamoto kweli ngoma zao sio za kusikiliza mbele ya kadamnasi.Mimi siagalia ule upuu wa Domo anasema , anachukua anaweka waa , nyoka anateleza anaingia shimoni
Wanajitahidi kukimbia sisi bado sijui tunawaza nini ?Wachina wako mbali mkuu , angalia hizi HOWO utajua mchinaa ameshampiga USA bao
Akikujibu nitagHivi mwanaume kamili hua anatoa wapi muda wa kuangalia vipindi kwenye TV...??🤔
Nakubaliana na wewe.Usipozibwa ukweli na propaganda za vyombo vya Magharibi hizi programmes zitakusaidia kujua kwa nini China imeibuka kuwa taifa lenye uchumi mkubwa
Wengi wamedangwanywa kuwa China isingekuwa hapo bila uwekezaji wa West. Ila zile documentaries zinaonyesha wazi jamaa walikuwa na long plan kufikia walipo sasa
Ni kweli kwenye solar ana kimbiza na huko kwenye EV napo ana kimbiza hawa jamaa kile chama chao ni kama kipo mbele ya muda hata kuhusu chips ni kama walishtukia mipango ya U.S mapema wakaanza kujiwekeza ndani na sasa wana ongeza uwekezaji na R&D sio muda mrefu napo wataanza kukimbiza huko.Na hapa kwa sasa Mchina hana mpinzani mfano kwenye photovoltaic technology na EV kwa ajili ya clean energy
Daah! Hizi mashine nimeziona sana kwenye programmes zao kwenye construction katika kuchimba tunnels.Hii mashine imevumbuliwa China inaitwa iron monster imefanya waweze kujenga madaraja kwa haraka na kutandaza reli
View attachment 2773909
Na hii ni kwa ajili ya kuchimba mahandaki inaitwa shield tunneling machine
View attachment 2773915
Hizi mashine zimesaidia kwenye ujenzi haraka wa reli na madarajalicha ya kuwa China baadhi ya maeneo ina milima mingi
Hawa jamaa ni wachapa kazi sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama haina maudhui ya ngono sahau kuhusu hilo kwa waafrika
Kitu pekee nilicho gundua kuhusu hawa jamaa ile ishi ya ukoloni na kutawaliwa ndani ya nchi yao inawauma sana hawataki kabisa kurudia makosa.Mtoa mada alivoweka bandiko mchana ikabidi niwashe tv kuzama kwenye channel nimeona wapo katika project ya umeme solar, uwanja wa kuenea viwanja vya soka 8000 wamezaja masolar pannels za kutosha, hapo kwenye EV ana magari makali ya umeme
ndo maana kwenye mambo ya rushwa hawana utani wanakufyeka kwelikweli
Hiyo process sio mchezo wanatumia muda mpaka jangwa linabadilishwaWamefanikiwa kuyageuza majangwa na kuyafanya yawe na uoto miti na nyasi
View attachment 2773927
View attachment 2773928