Cha mtu ni cha mtu tu, jirani yangu kahama na mke wake jana

Kuna jamaa kagombana na mke wake, kwa sababu mkewe katoa password ya rooter kwa kijana wa jirani.
 
Kuna jamaa kagombana na mke wake, kwa sababu mkewe katoa password ya rooter kwa kijana wa jirani.
Sasa free wifi ni kitu cha kukayaa kusharee kweli..!
 
Pole.usifuge mbwa ukitegemea "kitu" ya walevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…