Cha mtu ni cha mtu tu, jirani yangu kahama na mke wake jana

Cha mtu ni cha mtu tu, jirani yangu kahama na mke wake jana

Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini..

Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot..
tea_mobama-_012515064953.jpg
 
Kuna jamaa kagombana na mke wake, kwa sababu mkewe katoa password ya rooter kwa kijana wa jirani.
 
Kuna jamaa kagombana na mke wake, kwa sababu mkewe katoa password ya rooter kwa kijana wa jirani.
Sasa free wifi ni kitu cha kukayaa kusharee kweli..!
 
Back
Top Bottom