Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ndiyo maana wameweka sheria za kijinga kuhusu vigezo vya ili mtu agombee ubunge.Wanaagizwa hadi ujinga na wanatekeleza!
Wanasema ili mradi awe mtu mzima na ajue kusoma na kuandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana wameweka sheria za kijinga kuhusu vigezo vya ili mtu agombee ubunge.Wanaagizwa hadi ujinga na wanatekeleza!
Bado yule Binti wa MbeyaHuwa ni maagizo ya chama tu
Kudadadeeeki kimeumana sasa kina msukuma wanajiuliza watarudishaje yale ma V8NJE NTITI ndani NTITI.
Simpendi yuleBado yule Binti wa Mbeya
Watayarudisha km walivyoyachukua hakuna namnaKudadadeeeki kimeumana sasa kina msukuma wanajiuliza watarudishaje yale ma V8
Watayaiba spareWatayarudisha km walivyoyachukua hakuna namna
Hakika aiseeeeHivi mjomba tangu lini ccm wamewahi kuwa na machungu na wananchi wa Tanzania?
Wao wanachojali ni kuyajaza matumbo yao na familia zao tu.
Mamaaaeeeee watakoma kupenda vya bureeee haoWatayarudisha km walivyoyachukua hakuna namna
Kudadadeeeki kimeumana sasa kina msukuma wanajiuliza watarudishaje yale ma V8
Kwazi kwao sisi kama wazalendo wa kweli tushamaliza kazi yetu ya kuikomboa nchi mamaWatayaiba spare
Supati picha msukuma ana hali gani huko aliko kwao.Hakuna namna inabidi warudishe hata Nusu hasara maana wamepiga kazi ya udalali sema ndiyo hivyo haijazaa matunda.
Hahaha 🤣Supati picha msukuma ana hali gani huko aliko kwao.
Maana alishawatangazia wapiga kura wake kuwa ile V8 ni mali yake kanunua kwa fedha zake.
Afu dereva anayemuendesha ni lazima awe na elimu ya angalau kidato cha nne....Ndiyo maana wameweka sheria za kijinga kuhusu vigezo vya ili mtu agombee ubunge.
Wanasema ili mradi awe mtu mzima na ajue kusoma na kuandika
Kwisha, yaani hawa majamaa hawajiamini kabisaAfu dereva anayemuendesha ni lazima awe na elimu ya angalau kidato cha nne....
Wacha tusubirie ile waraka wa aliyekuwa shehe wa mkoa wa darNguvu ya TEC, wameanza kunena kwa lugha.
Hivi ndugu yangu naomba unisaide hapa ni nani mtu wa kuusoma mkataba wakisheria akauelewa na kutoa mchango wake kwa maendeleo ya nchi yetu.Kile kipengele Cha sifa ya mbunge ni awe anajua kusoma na kuandika pekee kitazamwe UPYA.
Huyu anaweza hata kusaini watoto wake waende utumwani bila kujua.
Kama haelewi Si angeomba muda au pitie au kuomba ushauri Kwa wengine jimboni kwake?
Yaani jamaa anaombwa msamaha Kwa Padre, kiongozi wake wa kiroho alipoombwa aje Kutoa ufafanuzi.
Imani Ina nguvu sana.
GwajimaHivi ndugu yangu naomba unisaide hapa ni nani mtu wa kuusoma mkataba wakisheria akauelewa na kutoa mchango wake kwa maendeleo ya nchi yetu.
1.Kibajaji
2.Jah people.
3. Msukuma
4.
5.
6.