Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

Kile kipengele Cha sifa ya mbunge ni awe anajua kusoma na kuandika pekee kitazamwe UPYA.

Huyu anaweza hata kusaini watoto wake waende utumwani bila kujua.

Kama haelewi Si angeomba muda au pitie au kuomba ushauri Kwa wengine jimboni kwake?

Yaani jamaa anaomba msamaha Kwa Padre, kiongozi wake wa kiroho alipoombwa aje Kutoa ufafanuzi.

Imani Ina nguvu sana.
 
Kile kipengele Cha sifa ya mbunge ni awe anajua kusoma na kuandika pekee kitazamwe UPYA.

Huyu anaweza hata kusaini watoto wake waende utumwani bila kujua.

Kama haelewi Si angeomba muda au pitie au kuomba ushauri Kwa wengine jimboni kwake?

Yaani jamaa anaombwa msamaha Kwa Padre, kiongozi wake wa kiroho alipoombwa aje Kutoa ufafanuzi.

Imani Ina nguvu sana.
Hivi ndugu yangu naomba unisaide hapa ni nani mtu wa kuusoma mkataba wakisheria akauelewa na kutoa mchango wake kwa maendeleo ya nchi yetu.

1.Kibajaji
2.Jah people.
3. Msukuma
4.
5.
6.
 
Back
Top Bottom