SawaChacha yuko sahihi 100%
ni CCM pekee ndio chama pekee cha siasa chenye malengo ya kukamata dola, kuunda serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea maendeleo waTanzania.
Vyama vingine vya siasa nchini Tanzania, malengo yao ni kuchochea chuki, kuleta fujo, uharibifu, ghasia na maarifa pekee π
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, ametangaza hadharani kuwa vyombo vyote vya dola na viongozi wa serikali ni mali halali ya CCM kwa kuwa chama hicho ndicho kilichowaweka madarakani.
Akizungumza leo, Jumamosi, Septemba 26, 2026, katika mkutano maalumu wa CCM Mkoa wa Iringa uliojadili maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa chama hicho mwaka 2027 na maadhimisho ya miaka 50 ya CCM, Chacha amewajibu kwa ukali wakosoaji na vyama vya upinzani vinavyohoji umiliki wa dola na utaratibu wa CCM kuwasomba wananchi kwenye mikutano yao.
Chacha amesisitiza kuwa CCM haitaacha utaratibu wake wa kukodi mabasi, kuwasomba wanachama na kuwapatia posho pindi wanapohudhuria mikutano ya chama hicho kote nchini. "Nani hajui kuwa dola ni mali ya CCM!?
Vyombo vya dola na viongozi wa serikali ni mali ya CCM kwa sababu ni chama hiki ndicho kilichowaweka katika nafasi hizo. Kuhusu madai ya upinzani kwamba tunasomba watu, tutaendelea kuwasomba kwa mabasi na kuwapa posho," amesema Paul Chacha.
Kauli hiyo imezua gumzo kubwa katika uwanja wa siasa nchini, huku wachambuzi wa masuala ya kisheria na kikatiba wakitafsiri kauli hiyo kama msimamo unaoonyesha wazi mtazamo wa chama tawala kuelekea uchaguzi wa ndani na maandalizi ya uchaguzi mkuu.
View attachment 3678443
MmmmhhhYuko sahihi.
jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman epuka porojo.Hao hao wanaofanya ufisadi, utekaji, ufiraji, mauaji na maovu mengi dhidi ya umma?
Ndio! Tatizo ni muundo wa CCM ,aliouweka Nyerere kuwa Rais awe Mwenyekiti wa Chama.Duh kumbe vyama vya siasa vinaweza kumiliki vyombo vya ulinzi...kwa hiyo ccm inaweza kuchukua bunduki za wanajeshi na polisi na kuzitumia, kwa sababu ni mali za chama ?
Vyama vingine vya siasa nchini Tanzania, malengo yao ni kuchochea chuki, kuleta fujo, uharibifu, ghasia na maarifa pekee πChacha yuko sahihi 100%
ni CCM pekee ndio chama pekee cha siasa chenye malengo ya kukamata dola, kuunda serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea maendeleo waTanzania.
Vyama vingine vya siasa nchini Tanzania, malengo yao ni kuchochea chuki, kuleta fujo, uharibifu, ghasia na maarifa pekee π
kama chama chako cha siasa hakina malengo, ya kushiriki wala kushinda uchaguzi, kukamata dola au kuunda serikali, kuongoza nchi na kuwatumikia wananchi,Vyama vingine vya siasa nchini Tanzania, malengo yao ni kuchochea chuki, kuleta fujo, uharibifu, ghasia na maarifa pekee π
(haujakosea kuandika hapo).
JK+ Riziwani+ Mkapa+ Mwinyi + Karume+ Saa100+ Nchemba+ Lowassa +Sumaye+ Nape+ Salma+Rostam+Makonda + Abdul + CDF+ IGP+ TISS+GSMNa CCM ni mali ya nani?....inafikirisha sana
Angalia maneno yaliyokolezwa, umeyaandika mwenyewe acha kurukaruka.kama chama chako cha siasa hakina malengo, ya kushiriki wala kushinda uchaguzi, kukamata dola au kuunda serikali, kuongoza nchi na kuwatumikia wananchi,
hiyo chama ni useless kabisa gentleman,
waambie na wenzako kuhusu hili na itapendeza zaidi π