Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Everything!Na mahakama ni zao pia.
Everything!Na mahakama ni zao pia.
Umewahi kusikia wakivilaani vyombo vya dola kwa hayo mauaji? Fazafaka wa Kizimkazi na CCM yake walishasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi...kwa hiyo mauaji ya OCT 29 yalifanywa na Ccm?
..Mwenyekiti wa Ccm anaepuka vipi lawama ktk mazingira kama haya?