Chacha: Nani asiyejua kuwa Viongozi wote na Dola ni Mali ya CCM?

..kwa hiyo mauaji ya OCT 29 yalifanywa na Ccm?

..Mwenyekiti wa Ccm anaepuka vipi lawama ktk mazingira kama haya?
Umewahi kusikia wakivilaani vyombo vya dola kwa hayo mauaji? Fazafaka wa Kizimkazi na CCM yake walishasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…