Utopo mtupu..hii nchi watu wanaishije?Yani Tanzania yetu bado nzuri sana licha ya CCM. Angalia city center ya jiji kuu la Chad ndjamena. View attachment 1758419View attachment 1758420View attachment 1758421View attachment 1758422
Kwa hiyo na huyu eliekuwa wa kwetu unamfananisha na huyoKwa mfano Sifa za huyu wa Chad Idriss Deby 'aliyeuwawa' kwa 'Kimbelembele' cha Kujifanya amepitia Jeshi na kaiva Kimedani wakati si kweli ni hizi zifuatazo....
1. Alikuwa Mkabila sana
2. Alikuwa Mdini mno...
Kumbe bora sisi mitano tena wengine wana 30 duh kazi iendeleeMwanae kapewa Urais wa mpito!!
Africa ni Africa tu naye wahesabu miaka 30 mingine
Kwa hiyo na huyu eliekuwa wa kwetu unamfananisha na huyo
Hata baba yake aliingia ikulu in 30sView attachment 1758234View attachment 1758235alivyo livyo ataweza kweli urais miaka 37 tu
Yani Tanzania yetu bado nzuri sana licha ya CCM. Angalia city center ya jiji kuu la Chad ndjamena. View attachment 1758419View attachment 1758420View attachment 1758421View attachment 1758422
Duh.
Hapo Makamu ndiyo ataapishwa au ni watarudia tu uchaguzi?
Ujinga ndio huu sasaMwanae kapewa Urais wa mpito!!
Africa ni Africa tu naye wahesabu miaka 30 mingine
Naye ni General wa Jeshi huko ChadMwanae kapewa Urais wa mpito!!
Africa ni Africa tu naye wahesabu miaka 30 mingine
Mungu kaamua kutupigania waafrika in mysterious wayMadikteta katika karne hii wajitathmini tena!
Mungu akiamua hata kwenye tundu la choo cha kuflash unaweza kudumbukia mzima mzima.Dah
Yaani rais aliamua kuingia frontline kwenye mapambano ya kurushiana risasi [emoji119]
Dawa nikuwadelete tu wanaibrand AFRICA vibaya.Madikteta mwaka huu wao