Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

LAURENT KABILA vs JOSEPH KABILA .....part II.

Kwa wale wahenga wenzangu " mnakumbuka kitu km hiki kilitokea Zaire kwa sasa DRC?
Screenshot_2021-04-20-17-06-49.jpg
 
Hivi raisi anaenda uwanja wa vita kweli bila ulinzi mathubuti? Sio kamba hii kutoka kwa wajeshi?
Ni kamba tu za jeshi ila nahisi kuna msako wa kimya kimya unafanyika Afrika kwa sasa hii ni mbadala wa The Arab Spring ulianzia kwa Nkuruzinza na unaendelea kuna phase mpya ya The Scramble for Africa utabeba waliomo na wasikuwamo na kila mtu atakuwa na story yake
 
Kwa mfano Sifa za huyu wa Chad Idriss Deby 'aliyeuwawa' kwa 'Kimbelembele' cha Kujifanya amepitia Jeshi na kaiva Kimedani wakati si kweli ni hizi zifuatazo:

1. Alikuwa Mkabila sana
2. Alikuwa Mdini mno
3. Mwizi
4. Malaya kwa Wake za Watu
5. Muuaji
6. Mroho wa Madaraka
7. Aliunda Kundi la Kimafia

Huku mwaka wa 2021 unanipa Raha tu.
 
Raisi anakufaje kwenye uwanja wa vita? Kwani alikuwa frontline? Nahisi wanajeshi wake walimchoka na wamemuua.
Huyu jamaa huwa yupo front na anarudisha moto vilevile ,hata 2006 alikuwa front wakanza kutarget gari lake, CDF wake akauwawa wakamshauri kuretreat waaasi wakamfuta mpaka nje ya ikulu akazipiga mpaka dakika za mwisho wafaransa wakampa tafu.
 
Daah huyu mwamba kaondoka? Niliona mpinzani wake juzi kati analalamika kwenye media, ndiyo wale ving'ang'anizi wa madaraka Africa.......ila cha kushangaza mwanae ndiye atakuwa Rais wa mpito ambaye ni Mwanajeshi. Museveni nawewe kawatembelee wanajeshi wanaopigana na Konyi, wamekumiss sana.

RIP IDRISS
 
Back
Top Bottom