Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

Hapo kwenye udini kvp mkuu?
Kwa mfano Sifa za huyu wa Chad Idriss Deby 'aliyeuwawa' kwa 'Kimbelembele' cha Kujifanya amepitia Jeshi na kaiva Kimedani wakati si kweli ni hizi zifuatazo...
 
Watajijua waafrika ndivyo tulivyo yaani tangu 1991 mtu yuko madarakani tu , hakuna maendeleo udikteta tu
Hali ya wananchi wa Chad ni mbaya sana lakini jamaa akaendelea kuwa madarakani.

Huu upuuzi na hapa kwetu ulianza kufanywa tena kwa usimamizi wa Spika ilhali maisha ya wananchi yakiwa hovyo.
 
Mmmmmh!
Yale yale historia ya Kabila DRC, imeisha hiyo!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Je, ni wakati wa Kumuomba Mungu aliyetembelea CHAD eje EAST AFRIKA kwa watu kama hao, maana mwezi uliopita alikuwa Tanzania?
 
Kwani hakuwa na makamu wa Rais? Katiba inasemaje Kwani?[emoji849]
 
Baraza la kijeshi la mpito(TMC) lenye majenerali 15 chini ya uenyekiti wa Mahamat Deby

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…