instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
- Thread starter
- #21
Tume huru tayari tunayo.sio chadema kukiwa na Tume huru ya uchaguzi ata TLP wanauwezo wa kushinda uchaguzi tatizo linaanza kwenye katiba mbovu
Polisi wanakimbia na sanduku la kura uliona wapi ila haya mambo yapo Tanzania
Nenda kubishane na ANNA TIBAIJUKA
Tibaijuka ana stress za kukosa teuzi