Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
uko sahihi mia kwa mia gentleman,Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalika🤣🤣
Hebu pokeeni ukweli huu.
- chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau
- hao watu siyo wapiga KURA wenu wanakuja kuwashangaa tu.
- wapiga KURA Wapo nyumbani siyo hao mnaotumia nguvu kubwa kuwaita kwenye mikutano yenu.
- huku mitaani ni aibu na ni laana mtu kujitokeza waziwazi nakusema kuwa yy ni chadema.
- Chama ambacho kinajaza mikutano na wapiga KURA halisi ni CCM tu.
- chadema Ina laana ya matukio ya tar 29 WATU HAWAITAKI
mpaka sasa,
hakuna mpiga kura atakae mchagua kibaraka yeyote wa mabwenyenye ya magharibi wala mamluki wao yeyote atakae thubutu kugombea nafasi ya uongozi wa kisiasa Tanzania.
Vibaraka na mamluki wao watakataliwa mapema asubuhi sana na wapiga kura 🐒