instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
- Thread starter
-
- #21
Tume huru tayari tunayo.sio chadema kukiwa na Tume huru ya uchaguzi ata TLP wanauwezo wa kushinda uchaguzi tatizo linaanza kwenye katiba mbovu
Polisi wanakimbia na sanduku la kura uliona wapi ila haya mambo yapo Tanzania
Nenda kubishane na ANNA TIBAIJUKA
Kwa mfano wewe Ngwathra ni Chama gani
ile sio Tume huru ni uhuni wa CCMTume huru tayari tunayo.
Tibaijuka ana stress za kukosa teuzi
huku mitaani ni aibu na ni laana mtu kujitokeza waziwazi nakusema kuwa yy ni chadema.Tatizo la wabongo tumelishwa akili chafu na wanasiasa, yani tushaua independent thinking kabisa, yani mtu akiongea ukaona ni tofauti na msimamo wako unajua tu ni mfuasi wa chama fulani, sina chama nafuatilia ukweli na facts
Kwa post hii ya kijinga hata mwashambwa anakuchekaNashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalikaš¤£š¤£
Hebu pokeeni ukweli huu.
- chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau
- hao watu siyo wapiga KURA wenu wanakuja kuwashangaa tu.
- wapiga KURA Wapo nyumbani siyo hao mnaotumia nguvu kubwa kuwaita kwenye mikutano yenu.
- huku mitaani ni aibu na ni laana mtu kujitokeza waziwazi nakusema kuwa yy ni chadema.
- Chama ambacho kinajaza mikutano na wapiga KURA halisi ni CCM tu.
- chadema Ina laana ya matukio ya tar 29 WATU HAWAITAKI
huku mitaani ni aibu na ni laana mtu kujitokeza waziwazi nakusema kuwa yy ni chadema.
Post zangu hazihitaji sympathy ya mtu yyteKwa post hii ya kijinga hata mwashambwa anakucheka
Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalikaš¤£š¤£
Hebu pokeeni ukweli huu.
- chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau
- hao watu siyo wapiga KURA wenu wanakuja kuwashangaa tu.
- wapiga KURA Wapo nyumbani siyo hao mnaotumia nguvu kubwa kuwaita kwenye mikutano yenu.
- huku mitaani ni aibu na ni laana mtu kujitokeza waziwazi nakusema kuwa yy ni chadema.
- Chama ambacho kinajaza mikutano na wapiga KURA halisi ni CCM tu.
- chadema Ina laana ya matukio ya tar 29 WATU HAWAITAKI
Hakuna mtanzania ataichagua chadema wewe subri muda ufikeKama una akili timamu, bila shaka utakuwa unajua kuwa kwa kipindi vhote cha utwala wa shetani, Tanxania haina uchaguxi, haina Bunge wala mahakama.
Siamini kama CHADEMA inaweza kushiriki kwenda tendo lolote la kishetani la kuhalalisha uporwaji wa haki ya wananchi kuwachagua viongozi. Siku kukija kuwepo uchaguzi, siyo ucjafu wa kipindi hiki cha giza, nina hakika CHADEMA watashiriki, na wananchi watawachagua. Na siku ambapo kutakuwa na uchaguzi wa kweli, CCM itakosa hata wagombea.
Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalikaš¤£š¤£
Mabebi zako wanakulipa shingapi mpaka unajitoa akili kiasi hiki? Mbona unawashwa washwa mno. Waambie waweke tume huru ili ujionee kama wanakubalika..!!
Hajui kama wewe upo kazini ushanunuliwa Tecno na Makonda na bandolier juu.Mbona hasira sana ukweli unakuja na maumivu siyo
Mbona Lamomy unatumia mafuta makali huoni kama unazeeka vibaya,
Basi unaweza kuedit account za watu unajiona mjanja kweliš¤£
Pole sana madam
Wewe huwaga ni *** *** unaona ulivyo jinga sasa..!! Mimi mwenzio maza ni shombeshombe sasa mafuta makali natumia vipi? š¹š¹
Mawazo yako na ya wenzio yanafanana ila hayako sawa,kaeni mtafakari upyaNashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalikaš¤£š¤£