CHADEMA acheni akili ya kujifariji. Ukweli ni kwamba hamkubaliki na wapiga kura

CCM isingelazimika kuiba Uchaguzi na kujiweka madarakani kwa nguvu za Vyombo vya Ulinzi na Usalama!
 
Hakuna mtanzania ataichagua chadema wewe subri muda ufike

Kauli yako hii inathibitisha au kuwa tayari upo kwenye uwendawazimu, au unafiki umekuondolea akili.

Ungekuwa upo kwenye utimamu wa akili, ungejua kuwa kunapokuwepo uchaguzi hlisia, hakuna hata mmoja anayeweza kusema nani atachaguliwa au hatachaguliwa kwa sababu wanaochagua ni wananchi. Wewe au mwingine yeyote siyo wakala wa umma wa wananchi.

Yeyote mwenye akili timamu anajua kuwa
 
Mimi pia ni mwananchi
 
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Nyau nyie wekeni uwanja tambarare muone kitakacho wapata.
 

Huku ndio kukubalika kwa ccm?
 
Kwahiyo kwa akili zako Chadema itashinda uchaguzi?
Siyo tu itashinda bali imekuwa ikishinda chaguzi zilizopita isipokuwa wa 2025 ambao haikushiriki ila ushindi wao huporwa na dola na kupewa ccm.
Ukweli huu nauthibitisha mimi mwenyewe ambaye nimekuwa msimamizi mkuu wa manispaa zaidi ya mbili na nilishudia cdm ikishinda na kupokonywa ushindi huo kwa maagizo na maelekezo kutoka kwa tiss na polisi.
 
Pole sana
 
Huna akili
 
Mimi pia ni mwananchi


Ni kweli kuwa na wewe na wewe ni mwananchi,. Lakini wewe ni mtu mmoja ambaye huwakilishi nafsi ya mwananchi mwingine yeyote. Matakwa yako siyo matakwa ya wananchi wengine wote. Humiliki takwa la mwananchi mwingine yeyote. Wewe ukisema kuwa hutaichagua CHADEMA, upo sahihi, lakini ukisema kuwa wananchi hawawezi kuichagua CHADEMA, lazima hutakuwa mzima, kwa sababu wewe mmoja huwezi kuwa ndiyo Wananchi.
 
Sahihi mkuu;

Kuna concept 2;

1. Kihudhuria mikutano.

2. Kupiga kura.

CCM Wanafanikiwa mno kwenye concept no.2 : Wapiga kura wanawakubali mno.
 
Kama mnadhani chadema sio popular fanyeni yafuatayo.
1. Dola iwe nyutro.
2. Fanyeni maboresho ya katiba.
4. INEC iwe huru.
5.Acheni kuteka wana chadema.
6. Msizitishe TV Ʊa magazeti.
7. Free tundu lissu.
8. Msitumie fedha ya umma.
Haya yakifanyika na mkashinda uchaguzi nitĆ kubaliana na hoja yako bila shaka yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…